Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani atakua Diwani Bananga anayefuata
Moshi wa bangi hukaa kichwani mwa mtu kwa miaka mingi.Asijisahaulishe huyo mwamba!
Alisema Magu atapumzika kwa amani kabla ya 2020. Umebakia mwezi mmoja, almost...
Lema Aache kujifariji kwa maneno ya kwenye Bible.. hizi Ni siasa siyo yesu kiukweli Ni pigo kubwa kwa meya kuhama chama Tena akitokea jiji mhimu kwa kambi ya upinzani Arusha..Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.
Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.
Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.
Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!
Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!
Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Shubaamit mtanyoroka tu mnatulogea kiborolonyi tunawalogea chato mambo ni hiviii [emoji83]Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.
Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.
Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.
Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!
Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!
Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
BibiNi nani aliyekudanganya kuwa sifa ya CHADEMA ni kukosa UMAKINI na sifa ya CCM ni kuwa MAKINI?
Una maana gani?Mungu anatenda miujiza
Nadhani Kanuni za kisiasa hazina mipaka kwa vyama vya siasa katika kutafuta wapiga kura!CCM ibadirike.
Ihangaike kuwapata wananchi watakaowapigia kura badala ya kuhangaika kuwapata viongozi waliopigiwa kura.
Kiongozi kama Lazaro hawezi kubadirisha mawazo yangu kwenye sanduku la kura ikiwa utendaji wa chama hicho haujakidhi mahitaji yangu ya kimaisha.
Kama walipata Kura million 6 2015 kinachoshindikana ni nini?? Kama walipata wabunge 120+ kinachoshindikana ni nini?? Kutoka halmashauri 5 mpaka 30 kipi hakiwezekani??Kukiondoa CCM kwa upinzani huu wa vyama vya saccos itachukua miaka 100 mkuu!!
Uchaguzi serikali za mtaa kwa Mitaa iloyopigikwa kura upinzani ulipata 38% sasa ina tofauti gani na kura za lowassa 2015??Nafikiri mkuu hujajua kura za Chadema za 2015 zilipatikana vipi. Kwa taarifa yako nyingi zilikuwa za wanaccm waliomfuata Mh. Lowassa na akina Rostam. Utaamini haya mwaka 2020 kama Chadema watapata hata nusu ya kura walizopata 2015!
Kasahau chama Chao chenye PhD za unafiki.Ni nani aliyekudanganya kuwa sifa ya CHADEMA ni kukosa UMAKINI na sifa ya CCM ni kuwa MAKINI?
Huyu ni Diwani wa wapi?Nadhani atakua Diwani Bananga anayefuata
Tunajua kuwa mnategemea mbeleko ya NEC na mabomu ya polisi,bila hivyo CCM haina ubavu wa kushinda uchaguzi wowote.Nafikiri mkuu hujajua kura za Chadema za 2015 zilipatikana vipi. Kwa taarifa yako nyingi zilikuwa za wanaccm waliomfuata Mh. Lowassa na akina Rostam. Utaamini haya mwaka 2020 kama Chadema watapata hata nusu ya kura walizopata 2015!
Bananga kuna Kila dalili zote za yeye kuhamia CCM... Maana chadema mnafigisu sanaaa, majungu na fitina baada ya yeye kuchukua form ya kugombea uenyekiti wa kanda mmeanza kumnanga
Kawaida ya muishiwa hoja yoyote,hukimbilia kwenye udini,ukabila,jinsi na rangi pindi anapoishiwa hoja.Chadema jeshi hawana polisi Hawa nk lakini wanacho.kitu kimoja tu kikubwa UKABILA..
Kwa Hilo hakuna Chama chochote Cha siasa kinawafikia
News has to be something new, which has impact, also big names makes news, habari ikiwa inajirudia rudia, baadae inakuwa sio news tena, inakuwa imezoeleka.
P
Yes na hii ni kwa Western noms, kuwa news is bad news, hivyo when there is no news ni kuwa there is nothing bad, hivyo no news is good news.Pascal,
Remember also that no news is good news....!!!
Mwenyekiti wa sasa wa ccm akili hii ya kuwaza namna hii hanaCCM ibadirike.
Ihangaike kuwapata wananchi watakaowapigia kura badala ya kuhangaika kuwapata viongozi waliopigiwa kura.
Kiongozi kama Lazaro hawezi kubadirisha mawazo yangu kwenye sanduku la kura ikiwa utendaji wa chama hicho haujakidhi mahitaji yangu ya kimaisha.
CCM ibadirike.