Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

TATIZO NI CCM.
Sio magufuli wala samia wala makamu wa rais ajae.
MATUMAINI YENU MNAYOJIPA NI HOPELESSS
 
Rc wa mbeya mpaka Leo najiuliza yule jamaa ilikuwaje akapewa cheo kikubwa kiasi kile? Mwenye CV yake naiomba wakuu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
 
Ina maana Profesa ana elimu lakini hana akili?
 
Jikite kwenye mada wewe
Mada IPI umeiona hapo?ukiamua kufanansha akili za MTU unafanansha za watu weng? Lema ana akili gani?wewe kila kitu cua upinzani unakichukua unaweka kwenye boxi lako lakuhifadhia meno.kama hukufukuzwa kwa vyeti feki,ni ndugu yako au mama yako.you are so bitter na sio uchungu was nchi.
 
Ni ushauri siyo maelekezo mkuu na ni kwa rais siyo kwa ccm
 
Hata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
RC Chalamila, Paul Makonda, Lazaro Mambosasa, DC Ole Sabaya hakika watakufa vifo vibaya. Kama kuna ndugu zao wanasoma JF waaambie wakatubu.
 
Lema yupo sahihi. Hatuwezi kuendelea na huu utaratibu sijui kuangalia upande wa pili wa Muungano, kanda, dini au gender.

Hii scenario ya Rais kufia kwenye kiti iwe somo muhimu sana kwetu
 
Akili zenu misukule ya CCM ni za ajabu kweli. Hapo hiyo mifano hujaelewa,na hasa huo wa Kabudi. Hajamaanisha hivyo ulivyoelewa wewe tabularasa.
 
CCM busara ipo. Ndio maana Magufuli alimchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamamu wake

Kazi ingekua kama Tundu angekua ndio Magufuli leo halafu yule makamu wake ndio awe Samia 👣👣
Don't underrate uwezo wa Salum Mwalimu. Kuna mengi hujui kumhusu yeye Ila umeamua kusoma kitabu ukaishia kwenye cover tu.
 
Don't underrate uwezo wa Salum Mwalimu. Kuna mengi hujui kumhusu yeye Ila umeamua kusoma kitabu ukaishia kwenye cover tu.
Kwa taarifa yako tuu namjua Salum sanaaa, sio kwa kuambiwa bali kwa kuwa nae kwenye shughuli za kila siku kuanzia asubuhi hadi jioni zaidi ya miaka5

Na uelewe pia kwamba sijamdharau, ila kuwa makamu wa rais au rais wa jmt. Bado sana
 
Inawezekana kabisa... Maana wamechanganyikiwa kabisa..
 
"Elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango" majalalani mfano safi kabisa.
Lema umetisha✌🏽✌🏽✌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…