Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya
😂😂😂😂😂😂😂
Kwanini asiwe TL. Jamaa wamekata tamaa kabisa aisee
 
Elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango by Godbless Lema

Nimecheka sana!
lema yupo sawa je vip yule makamu wa lisu anafaa kupewa nchi lkn hapo chadema hafai hata kupewa uwenyekiti toeni boriti yenu kwanza
 
Lema naona hana mpango wa kurudi Tanzania.

Kwa hiyo mifano tu,itoshe kuamini jamaa bado yupo sana ugaibuni.
 
Tunapinga ccm kabla ya Magufuli na hivyo vyeti feki , hatujaanza jana na hatutaacha mpaka tumeitokomeza
 
Udini usipewe nafasi ktk kuamua.

Waangalie mtu mwenye kufaa bila kujali imani yake.

Hata kama atakuwa Mwislam Safu yote ya uongozi wa juu wakiwa wa dini ya aina moja haina neno mradi wataongoza waTZ kwa haki sawa bila kujali imani wala itikadi yoyote.
 
Washauri wa mambo ya anasa na masuala ya hovyo wameanza mlikuwa wapi mpaka mkatukimbia wafuasi wenu
 
Kwahiyo cdm hawautaki tena urais ili mabeberu wapate kuchota mali zetu
 
Kwahiyo cdm hawautaki tena urais ili mabeberu wapate kuchota mali zetu
Mataga ni wagumu sana kuelewa. Anachomaanisha Lema ni kuwa makamu wa rais anayeteuliwa sasa anytime anaweza kuwa rais in case something bad happend to Madam president katika hii miaka 4.

Akili yako ya kimataga mataga inakutuma kuwaza kushoto always bila kujua kuwa pia kuna upande wa kulia.

Au nyie mnaamini huyu Mama ataweza kumaliza miaka 5 iliyobaki? Mna mkataba na Mungu?
 
CCM busara ipo. Ndio maana Magufuli alimchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamamu wake

Kazi ingekua kama Tundu angekua ndio Magufuli leo halafu yule makamu wake ndio awe Samia 👣👣
Samia Suluhu alichaguliwa na Magufuli kuwa makamu wake? Ndio maana huwa nasema wa tz bado uelewa mdogo
 
Badala wawe busy kujenga mfumo mzuri kwa ajili ya uchaguzi ujao wao kutwa kuiangalia CCM wananchi wakiwapiga chini wanaanza kulia lia kuonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…