Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Hivi wewe una ubinadamu au ni shetani?
Mwanadamu mwenye utu utaungaje mkono udhalimu na uonevu wa namna hii?
 
Serikali ya ccm ni kundi la kigaidi hatari kuliko IS au al qaeda! Hawa watu tunaanza nao kesho, watasikilizia yatakayowakuta wao si wameamua kufanya uhuni sisi tutanywesha mapanga yetu damu zao
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
 
Serikali ya ccm ni kundi la kigaidi hatari kuliko IS au al qaeda! Hawa watu tunaanza nao kesho, watasikilizia yatakayowakuta wao si wameamua kufanya uhuni sisi tutanywesha mapanga yetu damu zao
Hivi vi hasira vyako vya kipuuzi utasababisha wakunyonye mavi wakati huna uwezo wa kuuwa hata kuku.
 
Serikali ya ccm ni kundi la kigaidi hatari kuliko IS au al qaeda! Hawa watu tunaanza nao kesho, watasikilizia yatakayowakuta wao si wameamua kufanya uhuni sisi tutanywesha mapanga yetu damu zao
Kesho ipi hiyo.? Kila siku ety tunandamana lkn hakuna lolote, tulia kwenu usije kuwapa shida wazazi wako, acha kujifanya una uchungu na watu wasiokujua
 
Back
Top Bottom