Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Weka ushahidi wa ugaidi wa Mbowe,acha kujamba jamba
 
Nimeingia jf uzi karibu 20 ni povu la bavicha...hakika ngumi imepigwa panapouma....
 
Lakini mahakama ndio ina mandate ya kutoa hukumu kwamba anasingiziwa au ni kweli

Wewe umepata wapi mandate hiyo mkuu?
Tanzania haina mahakama wala Bunge katika Tafsiri zinazojulikana kimataifa, bali tuna idara za Serikali zinazotumiwa na Serikali kama Mahakama na Bunge.
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Dah unaongea upumbavu kama choko vile,
 
Walipiga manyanga kifo cha Hayati Magufuli, wakamuita mwenda zake. Lazima Waelewe Kifo ni cha kila binaadamu. Kila mtu ana siku yake. Hii ni kuwakumbusha Kifo kinampata mtu yeyote yule siku ikifika. Kuna wafungwa wengi wana ndungu wamekufa na bado wamo gerezani, dunia nzima. Mbowe na Tundu Lissu wanajifanya ni Watanzania kushinda Watanzania wengine.
Ndo hvy mzee, unaweza kuta mtu fulani siku yake ya kufa ni kesho na leo ameshikiliwa bc akifa watasema ameuawa, yn utadhani wao wana ratiba ya wanaokufa. Kifo ni cha kila mtu.
 
Kila kitu kina sura mbili, tatizo la chadema sasa hv ikitokea jambo baya fulani bc watalazimisha ionekane serikali imesababisha.
Sasa kama imesababisha serikali unataka waseme kasababisha Mama yako ?
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Lipumba aliwahi kuvunjwa mikono yote miwili na serikali ya ccm je hizo zilikuwa siasa za kistaarabu ?
 
Lipumba aliwahi kuvunjwa mikono yote miwili na serikali ya ccm je hizo zilikuwa siasa za kistaarabu ?
huwezi kumfananisha Lipumba na Mbowe hata siku mmoja,
Mbowe mpaka sasa ananuka, anatoa harufu mbaya sana, ni mtu ambaye ni tishio kwa amani na usalama wa nchi yetu, mbowe na genge lake ni hatari sana, Bowe na genge lake sio wanasiasa bali ni magaidi/mamafia/ wauaji na wahalifu wakubwa.
 
Back
Top Bottom