Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Wewe mtoto wa mwanamke Malaya,funga bakuli lako, jingaman wewe
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Tuliza mshono wewe awamu hii hakuna teuzi za kimalaya malaya kama alivyokuwa anafanya yule dhalim
 
Hizi mahakama zinacheza ngoma ya mtawala, akitaka zitende haki zinatenda haki, akiamua asitende haki nazo zinaenda katika mwelekeo huohuo!.

Ndiyo maana siku za mwanzo za utawala wa Samia watu walimpngeza yeye pindi mahakama ilipokuwa inaachia watu badala ya kuipongeza mahakama
Ila nakumbuka watu walipinga humu walisema walioachiwa huru hawakuachiwa kwa nguvu za Mama walishinda kesi au kesi zao zilikosa ushahidi
 
Jamani twende tuendako turudi turudiko hatujastaarabika.
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Hata wanao ongoza ni wahuni.
 
Back
Top Bottom