Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Lakini mahakama ndio ina mandate ya kutoa hukumu kwamba anasingiziwa au ni kweli

Wewe umepata wapi mandate hiyo mkuu?
Mahakama za Tanzania ni rahisi kuwa manipulated kwa sababu Serikali kupitia DPP ina mkono mrefu ndani ya mahakama zetu.

Ndiyo maana tunapambana ili kupata katiba nzuri ili mahakama iwe huru kwelikweli
 
Unaweza kua sahihi

Lakini mahakama hizi hizi ndio mlizozisifia zilipoondoa makosa ya viongozi wenu

Mlisifia pia ziliposhughulika na kesi za sabaya

Hii sio double standard?
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Mpare mjinga Kama wewe sijawahi kuona hayo anayosema lema ni uongo? Eti serikali mbaya ni mbaya kweli Kama serikali inauwa watu hovyo inauwa wanasiasa wanasiasa wanapigwa risasi serikali inasingizia watu kesi stupid kabisa. Serikali Kama hii inakuwaje nzuri? Ccm ni genge la wahuni na wameshamfix mama wanamharibia mama Kama walivyomharibia magufuli.
 
Hizi mahakama zinacheza ngoma ya mtawala, akitaka zitende haki zinatenda haki, akiamua asitende haki nazo zinaenda katika mwelekeo huohuo!.

Ndiyo maana siku za mwanzo za utawala wa Samia watu walimpngeza yeye pindi mahakama ilipokuwa inaachia watu badala ya kuipongeza mahakama
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
umeona eeh, endeleeni kushabikia udikteta, tena verified member.
 
Wacha serikali ifanye kazi yake kama si gaidi au gaidi majibu yataonekana mahakamani. Maneno mengi hayasaidii kitu.
 
Mpare mjinga Kama wewe sijawahi kuona hayo anayosema lema ni uongo? Eti serikali mbaya ni mbaya kweli Kama serikali inauwa watu hovyo inauwa wanasiasa wanasiasa wanapigwa risasi serikali inasingizia watu kesi stupid kabisa. Serikali Kama hii inakuwaje nzuri? Ccm ni genge la wahuni na wameshamfix mama wanamharibia mama Kama walivyomharibia magufuli.
Nilikuwa nadhani watu wanaokuwa verified Jamii forum ni smart kumbe ni hopeless tu.
umeona eeh, endeleeni kushabikia udikteta, tena verified member.
Tunaenda na nyie taratibu tuu mpaka mtaelewa show tuu
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Ya mbowe kuwa gaidi ni uongo wa mchana kweupe he waliompiga lissu risasi ndio njia iliyofaa? Mnazidi kuongezewa ushahidi haya kalemani alimpigia mkewe simu watoe CCTV cameras kwenye tukio la mbowe je nyie sio magaidi?
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Walipiga manyanga kifo cha Hayati Magufuli, wakamuita mwenda zake. Lazima Waelewe Kifo ni cha kila binaadamu. Kila mtu ana siku yake. Hii ni kuwakumbusha Kifo kinampata mtu yeyote yule siku ikifika. Kuna wafungwa wengi wana ndungu wamekufa na bado wamo gerezani, dunia nzima. Mbowe na Tundu Lissu wanajifanya ni Watanzania kushinda Watanzania wengine.
 
Huyo magufuli alikufa mapema kwasababu ya ushetani wake.
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
Mbowe ni muhuni Na mufanya biashara mwizi. Yuko kwenye siasa kujenga na kuchunga biashara zake. Siasa ilimpa fulsa ya kutumia jengo la serikali kwa biashara zake kwa zaidi ya miaka 10 bila kodi ya jengo wala kodi ya mapato. Siasa inampa fulsa ya kuitwa muheshimiwa na heshima hana. Hawa ndiyo wanasiasa wanaofanya Africa kuwa masikini. Na sisi kama wajinga, wakitutapikia tunawapigia makofi. Lala salaama baba Magufuli. Ulituonyesha uongozi bora.
 
Back
Top Bottom