Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Wafuasi wa cdm hawatoelewa hii, majamaa yamejitolea kuwaamn wanasiasa kulko hata maisha yao, moja ya sifa ya mfuas wa demokrasia ni kutobase kwenye mfumo mmoja hasa pale unapokosea, yaan uwe tyr hata kumuhukum yule unayemuamn maana nae anaweza kukosea, sasa hawa wafuas wa cdm wanaamin viongoz wao hawajawai kosea wala hawakosei, huu n upuuz ndyomaana niliacha kuwa shabik wa vyama vya siasa za Tz maana majitu haya hoji undani wa mambo yanayohusu wale wanaoawaamin wala huruhusiw kuhoji wala kuhukumu akikosea kiongoz, zaid ya kuunga mkono hata upuuzi,,Tz hakuna chama chamaana sio upinzan wala sio ccm wote ni wale wale wapuuzi wanaotofautiana upuuzi tu, na wote wana ushetan ambao wanaufanya il kuzid kubaki madarakan kwa muda mrefu, kuna upuuz unaofanywa na upinzan endapo ukiwekwa wazi bas wale wenye akili timamu wataachana na siasa chafu, lkn wale wafia uchafu watakupinga kama wapingavyo ktk hii post, na pia kuna ushetan wa chama tawala, inshort hakuna msafi ktk siasa, wote ni washenzi tu sema wanatofautiana viwango vya ushenzi, kama ccm n wauwaji na wanatumia udicteta kubak madarakani, jua kuwa hata wapinzan hasa cdm wanatumia uo uo udicteta kumbakiza mwenyekit madarakan na yeyote anaehoji anashughurikiwa ipasavyo,,hii ni spesho kwa wale wasio base upande wowote wa siasa, kama unaonea upande wako , haukosei basi ujue kuwa upo ktk level ya upofu wa mahaba ya siasa yaan huoni wala husikii, na hii ndyo ile level ambayo hata wafuas wa mpira na mapenz wakiifikia inaitwa True love yaan unapenda bila kujali maneno ya watu, wala kujari mapungufu ya kile au yule unaempenda..but in reality kuna upungufu mkubwa na uchafu ambao huwez uona mpka utoke nje ya box la mahaba yakipuuzi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
We mly umaskini wa hili taifa ni wa ccm
 
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
 
Mkuu siasa za nchi hii ziliharibika pale wanasiasa walipowapokonya wafuasi wao akili na kuwa wafuasi wa matamko na kauli za viongozi wao......kwa kifupi wanasiasa wa nchi hii wamewafanya watu kuwa misukule yao.......

Ndio maana haishangazi kuona mwanasiasa mwenye tuhuma za kila aina ya uchafu anapiganiwa na wafuasi wa upande wake.....lakini ghafla akihamia upande wa pili anakuwa mtakatifu.......

Huu ndio ujinga wa wafuasi wa vyama vya siasa hapa nchini na ndio mtaji wa viongozi wao....hii imewafanya viongozi wao kuwa malaika na watakatifu........

Ndio maana haishangazi kuona mwanasiasa anaweza hata akavunja sheria lakini wafuasi wake wanasema ameonewa.......

Kwa kifupi uhuru na mustakabali wa kweli wa taifa letu hauwezi kuletewa na wanasiasa bali na wananchi wenyewe.......na hiyo itawezekana mpaka pale wananchi watakapoanza kutumia akili zao kufikiri na sio kuabudu mawazo na matamko ya wanasiasa........
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Kuna jinga jingine limetweet eti"mtoto alilia sana"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha serikali ifanye kazi yake kama si gaidi au gaidi majibu yataonekana mahakamani. Maneno mengi hayasaidii kitu.
Unazungumzia hizi mahakama za CCM ambazo rais akiamka na furaha unafutiwa kesi ila akinuna unafungwa?
 
Kuna KIFO kikubwa kinakuja... Save this reply!
 
mkuu umemaliza,only geniuses will understand this
 
Hao ni ccm b.
 
Na hivi amekamatwa, mtasingizia mengi sana. Msiba wa baba mdogo (babu) wa mbowe badala la kutaja hata jina la aliyekufa ety mnakolezea kusema baba mdogo wa mbowe ili tuu watu waone serikali mbaya
Kwani hii Serikali ya sasa ina uzuri gani?
 
Wahi Mirembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…