Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

Weka ushahidi wa ugaidi wa Mbowe,acha kujamba jamba
 
Nimeingia jf uzi karibu 20 ni povu la bavicha...hakika ngumi imepigwa panapouma....
 
Lakini mahakama ndio ina mandate ya kutoa hukumu kwamba anasingiziwa au ni kweli

Wewe umepata wapi mandate hiyo mkuu?
Tanzania haina mahakama wala Bunge katika Tafsiri zinazojulikana kimataifa, bali tuna idara za Serikali zinazotumiwa na Serikali kama Mahakama na Bunge.
 
Dah unaongea upumbavu kama choko vile,
 
Ndo hvy mzee, unaweza kuta mtu fulani siku yake ya kufa ni kesho na leo ameshikiliwa bc akifa watasema ameuawa, yn utadhani wao wana ratiba ya wanaokufa. Kifo ni cha kila mtu.
 
Kila kitu kina sura mbili, tatizo la chadema sasa hv ikitokea jambo baya fulani bc watalazimisha ionekane serikali imesababisha.
Sasa kama imesababisha serikali unataka waseme kasababisha Mama yako ?
 
Lipumba aliwahi kuvunjwa mikono yote miwili na serikali ya ccm je hizo zilikuwa siasa za kistaarabu ?
 
Lipumba aliwahi kuvunjwa mikono yote miwili na serikali ya ccm je hizo zilikuwa siasa za kistaarabu ?
huwezi kumfananisha Lipumba na Mbowe hata siku mmoja,
Mbowe mpaka sasa ananuka, anatoa harufu mbaya sana, ni mtu ambaye ni tishio kwa amani na usalama wa nchi yetu, mbowe na genge lake ni hatari sana, Bowe na genge lake sio wanasiasa bali ni magaidi/mamafia/ wauaji na wahalifu wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…