Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

unaongea nini wewe,kwamba una uchungu kumzidi baba yake,kwa taarifa yako lunch yake ni chips kuku na soda ya baridi na analala ofisi ya mkuu wa kituo
Uko nje ya maada, usha zoea maada za Simba na Yanga
 
Mkorintho kumbe unafuatilia post zangu, asante. Hakikisha sasa unani follow wewe Mbwa maana walishafukuzwa
 
We mjinga hiki ndio tunataka katiba mpya, hivi unazania Mtoto mfano wa Biden aue unazania police watangoja kusikia Baba yake ana maoni gani? Sheria inagakiwa ifuatwe na sio maoni ya mzazi, utachelewesha sana mageuzi nchi hii, una akili fupi sana
 
Nchi ya wajinga walisha.pata story za vijiweni eti mbona mtoto wa Simba chaweni yuko ndani, mkuu nchi ina wajinga sana ngoja tungoje matokeo ya sensa, ila uzuzu ni mkubwa sana nchi hii
 
Baba amesema sheria ifuatwe kwahiyo wewe hilo wewe haulitaki? ulitaka baba asemeje labda?
 
Mkorintho kumbe unafuatilia post zangu, asante. Hakikisha sasa unani follow wewe Mbwa maana walishafukuzwa

sikufatilii,bali nafuatilia nyuzi zote zinazohusu hiki kisa cha mtoto wa mh waziri.

kukufollow naweza pia,naskia boss wako anapelekwa mahakamani.
 
Hahaha eti mtoto akishazaliwa ni mali ya nchi, wakati yeye (Lema) kakimbizia kuanzia Watoto, Mke mpaka yeye mwenyewe Kanada, au yeye na watoto wake siyo mali ya nchi?
Unajua kwann amekimbia au unaongea tu ushashiba makande
 
Hakika, sheria ichukue mkondo wake na sio kufuata kauli ya baba yeke.
 
Nchi ya wajinga walisha.pata story za vijiweni eti mbona mtoto wa Simba chaweni yuko ndani, mkuu nchi ina wajinga sana ngoja tungoje matokeo ya sensa, ila uzuzu ni mkubwa sana nchi hii
Na kweli... yaani watu wanasubiria sensa kuliko wanavodai haki zao
 
nchi ya kipumbavu isiyofata sheria lazima ukimbie ndio maana lumumba wakati wa uchaguz kenya mlibaki macho kodo kufatilia uchaguz wa haki na wenyekuaminika wakat kenya mlipofanya ujinga wenu na marehem hakuna aliyehangaika na nyinyi wapuuzi.

Sawa, lkn Magufuli waliyemkimbia hayupo, kwa nini Lema haleti Watoto wake waje kuwa mali ya nchi kama anavyowaambia watoto wa wengine kwamba ni mali ya nchi?
 
Haha wabongo bwana sijui lini tutakua na misimamo yetu.

Asipokamatwa watasema akamatwe.

Akikamatwa utasikia aachiwe.

Nji ngumu sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…