Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

unaongea nini wewe,kwamba una uchungu kumzidi baba yake,kwa taarifa yako lunch yake ni chips kuku na soda ya baridi na analala ofisi ya mkuu wa kituo
Uko nje ya maada, usha zoea maada za Simba na Yanga
 
wewe ndiye ulisema watafukuzwa waliomkamata.

watakapofukuzwa njoo uniite mbwa nimekaa paleee.


dogo kazingua sana,mbaya zaidi polisi wanaonekana walikuwa wananawa lawama,wakamwacha ujinga afanye yeye maana hamkawiii kusema waliomba rushwa akawanyima,sasa sijui alikuwa anakataa huku anaendesha???
Mkorintho kumbe unafuatilia post zangu, asante. Hakikisha sasa unani follow wewe Mbwa maana walishafukuzwa
 
Ilikua lazima mheshimiwa aoneshe msimamo Kama ule mbele ya umma.
Vipi Kama angenyamaza?watu wangekuja namaneno kwamba mzee kabariki ndoman yupo kimya.
Vipi angeonekana kumtetea mwanae hadharani? Watu wangeibuka nahasira kwamba viongozi ndivyo walivyo kutetea watoto wao.
Nini kitafanyika Sasa? Simbachawene Kama kiongozi katoka hadharani kuwataka polisi wafate sheria... yupo sahihi.
Baada yahapo?, Simbachawene anabaki kuwa mzazi wa kijana.Taratibu zakumsaidia kijana Kama mwanae lazima zifanyike nahizi sio za hadharani tena
We mjinga hiki ndio tunataka katiba mpya, hivi unazania Mtoto mfano wa Biden aue unazania police watangoja kusikia Baba yake ana maoni gani? Sheria inagakiwa ifuatwe na sio maoni ya mzazi, utachelewesha sana mageuzi nchi hii, una akili fupi sana
 
Tuwe tu reaslistic... kukandamiza haki kwa sababu zozote zile ni ukatili! Tatizo wengi tuna mentality za kuwapa polisi mandate ya kukandamiza haki.
Kutaka mtoto wa Simba nani huyo "ashughulikiwe kikamilifu" na polisi ni sawa sawa na kuwaruhusu polisi wafanye hivyo kwa wengine. Hii si sawa!
Sasa kuna video clip inatrend Instagram jamaa kavaa jezi ya polisi anaadhibiwa huku ana pingu mikononi! Very very inhumane!
Tujikite kudai haki na kusimika misingi ya sheria kwenye jamii.
Tuache emotions na nepotism mbele ya haki na sheria!
Nchi ya wajinga walisha.pata story za vijiweni eti mbona mtoto wa Simba chaweni yuko ndani, mkuu nchi ina wajinga sana ngoja tungoje matokeo ya sensa, ila uzuzu ni mkubwa sana nchi hii
 
Hivi karibuni Simbachawene alitumia madaraka yake kuwaamuru polisi wamshughulikie mwanae bila huruma! Nao polisi baada ya kupewa agizo wamesema watamfikisha mahakamani.

Inawezekana alitenda kosa lakini kitendo cha baba yake kuingilia na kumkana tayari kumewapa nguvu ya ziada polisi jambo ambalo si sahihi.

Huyo kijana hana wa kusikiliza hoja zake ziwe sahihi au si sahihi kwani amezingirwa na kundi kubwa la dola ambalo linaweza likajipa haki ya ushahidi wa uongo kutokana na maelekezo toka kwa baba yake, hii ni hatari kwa maisha ya furaha ya kijana.

Ombi langu kwa wanasheria wapenda haki wamtetee kijana ili sheria ifuatwe kwa njia zinazokubalika na si kwa maagizo ya baba.
Baba amesema sheria ifuatwe kwahiyo wewe hilo wewe haulitaki? ulitaka baba asemeje labda?
 
Mkorintho kumbe unafuatilia post zangu, asante. Hakikisha sasa unani follow wewe Mbwa maana walishafukuzwa

sikufatilii,bali nafuatilia nyuzi zote zinazohusu hiki kisa cha mtoto wa mh waziri.

kukufollow naweza pia,naskia boss wako anapelekwa mahakamani.
 
Hahaha eti mtoto akishazaliwa ni mali ya nchi, wakati yeye (Lema) kakimbizia kuanzia Watoto, Mke mpaka yeye mwenyewe Kanada, au yeye na watoto wake siyo mali ya nchi?
Unajua kwann amekimbia au unaongea tu ushashiba makande
 
Nchi ya wajinga walisha.pata story za vijiweni eti mbona mtoto wa Simba chaweni yuko ndani, mkuu nchi ina wajinga sana ngoja tungoje matokeo ya sensa, ila uzuzu ni mkubwa sana nchi hii
Na kweli... yaani watu wanasubiria sensa kuliko wanavodai haki zao
 
nchi ya kipumbavu isiyofata sheria lazima ukimbie ndio maana lumumba wakati wa uchaguz kenya mlibaki macho kodo kufatilia uchaguz wa haki na wenyekuaminika wakat kenya mlipofanya ujinga wenu na marehem hakuna aliyehangaika na nyinyi wapuuzi.

Sawa, lkn Magufuli waliyemkimbia hayupo, kwa nini Lema haleti Watoto wake waje kuwa mali ya nchi kama anavyowaambia watoto wa wengine kwamba ni mali ya nchi?
 
Haha wabongo bwana sijui lini tutakua na misimamo yetu.

Asipokamatwa watasema akamatwe.

Akikamatwa utasikia aachiwe.

Nji ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom