Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

Haha wabongo bwana sijui lini tutakua na misimamo yetu.

Asipokamatwa watasema akamatwe.

Akikamatwa utasikia aachiwe.

Nji ngumu sana hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Simbachawene alisema ashughulikiwee sasa mru atapandishwa mahakamani na file halijakamilikaa???? Au mnadhani mahakamani ni kama Unaenda chooni huyo Lema nae ni Mnafikii sanaa... Anajua huyo dogo amashtakiwa kwa kosa gani lingine ukiacha kosa barabarani??? Watanzania bhana kujikuta wanataka kusimamia haki wakati mwenyw mtoto kashasema kijana ashughulikiwee...
 
Hao polisi waliambiwa wamshughulikie kwa mujibu wa sheria? Kumnyima dhamana ndiyo sheria?
 
Lema akamueekee dhamana. Baba kaamua kumfunza mtoto wake wewe unasema anakomolewa.
Na angekuwepo uraiani pia wangesema ni sababu ya mtoto wa waziri hakuna cha kumfanya,upinzani wamekuwa na hoja nyepesi za kuwapa kiki this round.
 
Huyu LEMA naona sasa amefilisika kifikra, yaani mzazi ameamua kumuadabisha mwanae halafu yeye anataka kuifanya ni ajenda ya kitaifa. HAKIKA HUU NI MSIBA MKUBWA. Nadhani inatakiwa tufike mahali tuwe na uwezo wa kutenganisha mambo ya kifamilia na maswala ya kitaifa.Kwani amejaribu yeye binafsi kama LEMA kwenda kumuwekea dhamana polisi wakamkatalia.
 
Na angekuwepo uraiani pia wangesema ni sababu ya mtoto wa waziri hakuna cha kumfanya,upinzani wamekuwa na hoja nyepesi za kuwapa kiki this round.
Ishu hapa wala si upinzani wala hoja zao... Ishu ni ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria!
 
Huwezi kumwadabisha mwanao kwa kuvunja sheria
 
Huwezi kumwadabisha mwanao kwa kuvunja sheria
Hakuna sheria iliyovunjwa, baba amewataka polisi kufanya kazi yao bila kujali kama ni mwanae, kwa maana ya kuchukua hatua kama ambavyo wangefanya kwa mtu mwingine yeyote yule aliyefanya makosa kama hayo, wala hakusema asipewe dhama, sasa kama LEMA ana uchungu sana si akamuwekee dhamana ndugu. Mnafeli wapi ndugu zangu.
 
Unafahamu kilichoandikwa ndani ya PGO kuhusu tuhuma zinazoruhusu dhamana ?
 
Yaani maana siHasa akisema weka ndani Huyu !! Anawekwa ndani ! Kesho akisema mtoeni huyu anatolewa !! Sasa kuna haja gani ya kuwepo mahakama na mahakimu ?? Wana siHasa muache kutuburuta namna hii Sheria ifuatwe na ndio maana ile Rasimu ya katiba ya Warioba iwekwe mezani !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…