Zamani sikumfuatilia vizuri, huyu jamaa ni smart, na IQ yake ipo juu ingawa wengi huwa wana mbeza. Alitoa material bila ya kuharibu chama, very frank na ukweli mtupu. Heko LemaTundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Wivu wa kikeLema hajui kujenga hoja, maelezo yake mengi yana fallacies nyingi mno.
Sasa na wewe hujui boss wa Lema ni Lissu.Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Opportunist mpima upepo. Kakaa kimya akipima upepo, alipoona unaelekea kwa Lissu ka-join the chain.Lema ni Mafia wa kisiasa...heko zake
Kweli kuongea ni kipajiTundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Kwanini aliogopa kugombea Uwenyekiti wa Kanda?Japo nipo timu Mbowe, ILa Lema ni mtu makini sana
Kwanini aliogopa kugombea Uwenyekiti wa Kanda?
Tulia dogoAngekuwa na huo uwezo angebaki kwake TLP akatumia kipawa hicho kuinua chama chake.