Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Mbowe hawezi kushinda tena.
Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
 
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Lema hajui kujenga hoja, maelezo yake mengi yana fallacies nyingi mno.
 
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Zamani sikumfuatilia vizuri, huyu jamaa ni smart, na IQ yake ipo juu ingawa wengi huwa wana mbeza. Alitoa material bila ya kuharibu chama, very frank na ukweli mtupu. Heko Lema
 
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Sasa na wewe hujui boss wa Lema ni Lissu.

Sasa ina maana Lema anaiongozwa na jamaa kwenye sifa hizo kweli? Laah
 
Angekuwa na huo uwezo angebaki kwake TLP akatumia kipawa hicho kuinua chama chake.
 
Lema kesho njoo uongeze dozi Hawa akina Wenje na Dj wapoteane kabisa
 
Opportunist mpima upepo. Kakaa kimya akipima upepo, alipoona unaelekea kwa Lissu ka-join the chain.

Tapeli sawa na binamu yake, mbowe.
Upepo ulikuwa kwa mbowe yeye ndio kaugeuza
 
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Lema kaitisha press moja tu kabadili upepo ghdfla.
Kuongea ni kipaji
Kweli kuongea ni kipaji
 
Back
Top Bottom