Ulikuwa unataka kumaanisha nini?
Wake zao wenyewe hamuwataji kwa majina. Watajeni humuKama Lema alivyosema haiingii akilini Benson Kigaila na Salum Mwalimu wake zao ni wabunge waliofukuzwa na kamati kuu.
Katika kamati kuu wanataka kuwaondoa wote wenye misimamo ili covid 19 warudishwe, CCM isipate upinzani wowote wa maana. Wasimamizi wa chaguzi ndio hao wawili wenye maslahi na wake zao.
Ishikata tamaaTImu maropo kazini.
Ni siku watanzania tukiwa serious. Siku zote tunashabikia ujinga na vitu vya maana tunavipuuza, matokeo ndio kama haya ya sasaSiku kikiwa serious
Huenda aina hii ya 'subversion' haijaanza awamu hii. Safu ile ya NCCR siku ile pale Mwembe Yanga aliposimama the late Mzee Lyatonga (RIP) ... wale wote tops, inasemekana walikua nao ni projects.Wanawatoa watu hao wanaweka watu wa serikali. Hapo si wanakiua chama kabisa.
Kitakuwa chama cha kupokea maagizo kutoka kwa Abdul na Mama Abdul.
Huenda aina hii ya 'subversion' haijaanza awamu hii. Safu ile ya NCCR siku ile pale Mwembe Yanga aliposimama the late Mzee Lyatonga (RIP) ... wale wote tops, inasemekana walikua nao ni projects.
Eti makamanda uchwara wanamuita huyo jamaa nabii😁akili za kuambiwa changanya na zako lema,
kiburi na kukariri mambo kimekufanya ukataliwe arusha
Nabii feki huyo.Hana lolote.Hata kuitwa hivyo ni kumpa hadhi asiyostahili.Eti makamanda uchwara wanamuita huyo jamaa nabii😁
Yeyote yule. Na marehemu si ana jina? Kuambiwa na marehemu si issue maana unaweza niambia leo na kesho ukafariki haifuti ulichoniambiaKama wa Lisu wa kusema aliambiwa na marehemu. Au kipimo hicho hakimhusu Lisu?
Sijakuelewa. Mnataka mtajwe kwa majina?Wake zao wenyewe hamuwataji kwa majina. Watajeni humu
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.
Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.
Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Jina la marehemu umetajiwa?Ndio tatizo la kuzua na kusema marehemu. Marehemu hawezi kukanusha kwamba unasema uongo.Wazushi wengi wanawasingizia marehemu kwa sababu marehemu hawezi kufanya cross examination kuhoji uzushi wako.Yeyote yule. Na marehemu si ana jina? Kuambiwa na marehemu si issue maana unaweza niambia leo na kesho ukafariki haifuti ulichoniambia
Wanajali maslahi ya nchi wapi wewe?, kila siku TL analilia hela ya matibabu yake, miaka yote wamefanya kitu gani kwenye jamii?, zaidi ya kulipana hardship allowanceTanzania inahitaji chama cha upinzani serious. Sio chama B cha CCM.
Lissu, Heche, Lema, wanajali maslahi ya nchi zaidi ya Mbowe, Sugu, Wenje, Boni yai.
barkingUlikuwa unataka kumaanisha nini?