Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulikuwa unataka kumaanisha nini?
Kama Lema alivyosema haiingii akilini Benson Kigaila na Salum Mwalimu wake zao ni wabunge waliofukuzwa na kamati kuu.

Katika kamati kuu wanataka kuwaondoa wote wenye misimamo ili covid 19 warudishwe, CCM isipate upinzani wowote wa maana. Wasimamizi wa chaguzi ndio hao wawili wenye maslahi na wake zao.
Wake zao wenyewe hamuwataji kwa majina. Watajeni humu
 
Kwa dalili zilizopo ni dhahiri chama kipya cha upinzani kipo njiani na soon kitatangazwa.

Huku kujilipua kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA na kumpinga Mbowe hadharani ni wazi kabisa wanapakukimbilia tayari.

Lissu hawezi pata uenyekiti, not for as long as Mbowe yupo hai. Kupoteza uenyekiti kutamfanya Lissu aondoke CHADEMA maana damage aliyofanya ni kubwa tayari ya kumuumbua Mbowe.
 
Sielewi kwanini viongozi wa CHADEMA wanapenda kutumia neno fulani aliniambia, sijui niliambiwa, dah uswahili mtupu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wanawatoa watu hao wanaweka watu wa serikali. Hapo si wanakiua chama kabisa.

Kitakuwa chama cha kupokea maagizo kutoka kwa Abdul na Mama Abdul.
Huenda aina hii ya 'subversion' haijaanza awamu hii. Safu ile ya NCCR siku ile pale Mwembe Yanga aliposimama the late Mzee Lyatonga (RIP) ... wale wote tops, inasemekana walikua nao ni projects.
 
Makala aliwaambia huko chadema kunakufukuto tukabisha sasa kwa hotuba ya lema leo imemaliza ubishi wote
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huenda aina hii ya 'subversion' haijaanza awamu hii. Safu ile ya NCCR siku ile pale Mwembe Yanga aliposimama the late Mzee Lyatonga (RIP) ... wale wote tops, inasemekana walikua nao ni projects.

Lyatonga alikuwa mzalendo wa kweli, na alijali maslahi ya Taifa. alikuja kubadilika baadaye. Nafikiri angechukua nchi 95, nchi ingenyooka.

Labda shida ingekuwa angeng'ang'ania madaraka kama viongozi wengine wa upinzani, Africa.
 
Kama wa Lisu wa kusema aliambiwa na marehemu. Au kipimo hicho hakimhusu Lisu?
Yeyote yule. Na marehemu si ana jina? Kuambiwa na marehemu si issue maana unaweza niambia leo na kesho ukafariki haifuti ulichoniambia
 
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.


Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.

Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.

Kama amefanya Uswahiba na Abdul,
unategemea nini?
 
Yeyote yule. Na marehemu si ana jina? Kuambiwa na marehemu si issue maana unaweza niambia leo na kesho ukafariki haifuti ulichoniambia
Jina la marehemu umetajiwa?Ndio tatizo la kuzua na kusema marehemu. Marehemu hawezi kukanusha kwamba unasema uongo.Wazushi wengi wanawasingizia marehemu kwa sababu marehemu hawezi kufanya cross examination kuhoji uzushi wako.
 
Ndo ujue Mbowe ni hatari, Lema ana zungumza haya akiwa Canada, kwa usalama wa maisha yake.
 
Tanzania inahitaji chama cha upinzani serious. Sio chama B cha CCM.

Lissu, Heche, Lema, wanajali maslahi ya nchi zaidi ya Mbowe, Sugu, Wenje, Boni yai.
Wanajali maslahi ya nchi wapi wewe?, kila siku TL analilia hela ya matibabu yake, miaka yote wamefanya kitu gani kwenye jamii?, zaidi ya kulipana hardship allowance
 
Back
Top Bottom