Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenje sio Project ya Serikali ni Project ya RUSHWA za CCM.

Tutaambia nini Wananchi wakati CHADEMA wenyewe tunakula RUSHWA?!
 
Mbowe anapambana na watoto wa mjini haswaa.

Alizoea kuwabana mbugilambugila sasa kakutana na mamba wenyewe haswaa
 
Wanajali maslahi ya nchi wapi wewe?, kila siku TL analilia hela ya matibabu yake, miaka yote wamefanya kitu gani kwenye jamii?, zaidi ya kulipana hardship allowance
Tatizo liko wapi TL kulipwa stahiki zake, Abdul, Wenje na mama Abdul walitaka wampe pesa, rushwa kwa masharti.

Hiyo ni aina moja ya kupinga rushwa nchini. Ameongelea kuhusu rushwa kwenye chaguzi nyingi za ndani. TL anajaribu kukiokoa chama, nchi iwe na upinzani wa kweli. Hayo ni maslahi ya Taifa.

Atapambana zaidi kudai katiba mpya, tume huru akiwa mwenyekiti kwa maslahi ya Taifa. Hatakubali maridhiano feki wala kulamva asali.
 
Freeman Mbowe ni mtu useless sana....ila kwa ninavyomfahamu wala sishangai....Saccos bye bye...aendelee kupiga mabapa yake tu..akaange maini na firigisi zake
 
Duuh
 
Wenje sio Project ya Serikali ni Project ya RUSHWA za CCM.

Tutaambia nini Wananchi wakati CHADEMA wenyewe tunakula RUSHWA?!
Kwanini unajifanya kushangaa wakati jambo lipo dhahiri .Marehemu EL aliingiaje Chadema na kupewa ugombea Urais?Unafikiri ilikuwa bure?
 
Sioni tatizo lolote Wenje kuwa project ya Serikali Kwa sababu alipokuwa Waziri Kivuli wa foreign affairs alikuwa ni Msaidizi wa Waziri na kipindi hicho Waziri alikuwa Mwendazake Kamilius Membe

Sasa cha ajabu ni nini hapo?!

Ahsanteni sana 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…