Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sioni tatizo lolote Wenje kuwa project ya Serikali Kwa sababu alipokuwa Waziri Kivuli wa foreign affairs alikuwa ni Msaidizi wa Waziri na kipindi hicho Waziri alikuwa Mwendazake Kamilius Membe

Sasa cha ajabu ni nini hapo?!

Ahsanteni sana 🐼
Smart Gin @ work
 
Na Hawa wengine wanagombea matumbo Yao au kuwapambania Wananchi? Hawa thwaite project ya nani? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DEzlOTmCq59/?igsh=MTJmODg1b2NjemZ5ZQ==
 
Nataka mdahalo na Boni yai, kama alikua anajua hili kwa nini akumwambia mwenyekiti mbowe ,

Au alimwambia then Mbowe akapuuza? Boni yai njoo hapa
 

Aiseeee noma sana ,ngoja tuone hiyo tar 21 ,TAL na team yake wakiangukia Pua.
 
Aende CCM A kama Msigwa akapige deki Lumumba
Atatumia nafasi yake hata kama asipokuwa na cheo chochote, kama Mtanzania huru kutetea maslahi mapana ya Taifa, kuwa upande wa watakaodai katiba mpya, Tume huru, kupinga ufisadi.

Upande ambao hautakubali kulambishwa asali kubadili misimamo yao.
 
Mwaka huu tutasikia mengiii!!🫢🫢🫢🫢
 
Bila mbowe kuondoka kwenye uwenyekiti Bado chadema itakuwa na Hali ngumu.Chadema inahitaji kusafishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…