Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Unamsaidiaje mtu kwa kitu ambacho yeye ndo anajua alichotaka maanisha?unausemea moyo?mi nimemsaidia jamaa hapo sijajua unazungumzia IDs zipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsaidiaje mtu kwa kitu ambacho yeye ndo anajua alichotaka maanisha?unausemea moyo?mi nimemsaidia jamaa hapo sijajua unazungumzia IDs zipi
Wala hatetemekei hivyo vyeo kwani ni mtu huru sana.Hahaaa. Lema kashajipotezea kila. Ubunge hayumo, uongozi hayumo, kabaki baking tu
Amekataliwaje Arusha wakati hajagombea chochote? I mean, umejuaje kama kakataliwa wakati sio mtia NIA wa nafasi yeyote huko A town?akili za kuambiwa changanya na zako lema,
kiburi na kukariri mambo kimekufanya ukataliwe arusha![]()
alikataliwa yeye kwanza kabla ya mrithi wake aliekua anamfanyia mpango ashinde kanda ya kaskazini.Amekataliwaje Arusha wakati hajagombea chochote? I mean, umejuaje kama kakataliwa wakati sio mtia NIA wa nafasi yeyote huko A town?
Mpaka hapo sio lazima isemwe kuwa boni yai yupo upande wa lissuWananishangazaga hapo tu wanapotaja mpk chanzo hbr alipoipata!! " ........ Niliambiwa na ......"😂😂
Mungu ni mwema... WameshindwaWanawatoa watu hao wanaweka watu wa serikali. Hapo si wanakiua chama kabisa.
Kitakuwa chama cha kupokea maagizo kutoka kwa Abdul na Mama Abdul.
Alafu husicheke kishoga, kwa hiyo ulitaka Lema aje nyumbani kwako akusaidie mkeo ?Hahaaa. Lema kashajipotezea kila. Ubunge hayumo, uongozi hayumo, kabaki baking tu
Mbowe kageuka Pro- establishment.Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.
Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.
Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Umuhimu wa msigwa kwa lissu ni upi mkuu?Msigwa ni muhimu sana kwa mustakabali wa Lisu .
Lisu ni Mwanasiasa mwenye akili kubwa sana
We Mzee utakuwa na kidaftali Cha kuchukua notice🤣Sioni tatizo lolote Wenje kuwa project ya Serikali Kwa sababu alipokuwa Waziri Kivuli wa foreign affairs alikuwa ni Msaidizi wa Waziri na kipindi hicho Waziri alikuwa Mwendazake Kamilius Membe
Sasa cha ajabu ni nini hapo?!
Ahsanteni sana 🐼
Mbowe ni tapeli tu, hajawahi kuwa mwanamageuzi wa kweli.Kama kummaliza Mbowe, Lema leo amefanikiwa.
Ulitaka ushahidi gani? Mtu kataja hadi chanzo cha taarifa.Hu
Lema unaongea bila ushahidi
Unatapatapa sana, tuliza kinyeoagombea wapi wakati alianza kukataliwa kitambo sana akiwa kiongozi wa kuchaguliwa![]()
Hajammaliza bali kasema ukweliKama kummaliza Mbowe, Lema leo amefanikiwa.
Unatapatapa sana, tuliza kinyeo