Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mtu anayefatilia siasa ni lazimia angejua tu haya yangetikea.Haya yote ni SAMIA anafanya kupunguza athari za mbeleni.
Chukulia mfano,SAMIA ni mzanzibar ndani ya CCM tu watu wengi hawataki agombee tena.Ni vigumu sana kumnadi Mwanamke kwenye nafasi ya Urais na mbaya zaidi bado ni Mzanzibar.

Just imagine unakutana na CDM yenye wanasiasa design ya Lissu,SAMIA hali yake itakuwaje??
Bado hapo hapo anataka amantain huko Duniani kuonesha yupo na siasa za kidemocracy
 
Amekataliwaje Arusha wakati hajagombea chochote? I mean, umejuaje kama kakataliwa wakati sio mtia NIA wa nafasi yeyote huko A town?
alikataliwa yeye kwanza kabla ya mrithi wake aliekua anamfanyia mpango ashinde kanda ya kaskazini.

ilikua ni fedheha na aibu ya kiwango cha juu mno angetangaza nia hali ya kua anekataliwa ndani ya chadema yenyewe, halafu nje ya chadema unakutana na mtu kama Paul makonda na mrisho Gambo 🤣

Lazima ujistaafishe bila kupenda 🐒
 
Leo Lemma kammaliza kabisa Sultan yaani yuko uchi,hata kama kuna ambaye alikuwa bado ana shaka kuwa Mbowe ni project ya Samia basi shaka hiyo imeondolewa Mbowe amekinajisi sana Chama,hastahili hata kuwa mjumbe wa kudumu wa CC,huyu ni pandikizi la CCM kwa 100%.
 
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.


Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe press conference yake aliyokuwa ameipanga kutangaza jambo hilo akihofia kuwa upepo wa kisiasa kwa wakati huo haukuwa mzuri. Alipojaribu kupigia simu Mbowe ili amshauri Wenje asitishe press hiyo, Mbowe akampiga danadana, alipompigia Boni Yai ili naye amshauri Mbowe aexert influence yake kwa Mbowe kutojana na ukaribu wao wa siku hizi Boni Yai akasema kuwa Wenje ni project ya serikali.

Wakati huohuo Lema akasema kuwa ulikuwepo mpango mkakati wa kuondoa Icons na watu influential kutoka ktk ranks za uongozi ndani ya chama. Miongini mwa walengwa walikuwa ni pamoja na Heche, Yeye, Msigwa na Lissu.
Mbowe kageuka Pro- establishment.
 
Sioni tatizo lolote Wenje kuwa project ya Serikali Kwa sababu alipokuwa Waziri Kivuli wa foreign affairs alikuwa ni Msaidizi wa Waziri na kipindi hicho Waziri alikuwa Mwendazake Kamilius Membe

Sasa cha ajabu ni nini hapo?!

Ahsanteni sana 🐼
We Mzee utakuwa na kidaftali Cha kuchukua notice🤣
 
Natamani Mbowe aondoke ili tuone huo upinzani jinsi unavyoenda kuiondoa CCM na jinsi CDM inavyochukua serikali 2025.Maana kwa mataishi ya hawa jamaa FAM ndo sababu hawashiki serikali, wakati huyo huyo Mbowe walau kakifanya kimekua chama kikuu cha upinzani.
KUONDOA CCM sio lelemama kama wanavyohisi au watu mnavyohisi..sera za ujamaa vyama tawala vilijikita mizizi kila sehemu..
 
Back
Top Bottom