Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Hivi uko Canada na Bado unatumia Tecno
Rudi nyumbani Mzee
Mama amechangamsha nchi
Nchi imeamka usingizini
Mikutano Arusha ya kumwaga
Matumaini yamerudi
Check tunavyotabasamu[emoji16][emoji16]
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom...
Chadema mkiendekeza mawazo mgando ya kupambana na Magufuli hamtafika popote! Magufuli alishazikwa nanyi kama chama mtazikwa
 
Wazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.
Ona hii taka taka ya majalalani, nyani nyani kabisa.
Kwa hiyo wazungu wakikufananisha na nyani unakasirika? Kwa nini ukasirike wakati wewe siyo nyani?
 
Mwanasiasa wa ovyo unaeshiriki mazishi ya mbwa ulitaka ukaongee nini huko kwenye mkutano wa mh Balozi.

Kumbuka tangu umekwenda huko kazi yako ni kuichafua nchi yetu pamoja na serikali yake.

Huo ni ujumbe kwako kwamba jamii ya diaspora wa Tanzania [emoji1241] nchini Canada[emoji1063] hawakuungi mkono kwa vitendo vyako.
 
Common sense is not so common.
Kwa hiyo Lema ndiyo ana common sense kwa kujipitisha kwenye ma NGO kutaka kukwamisha mahusiano ya kiuchumi ya Tanzania na mataifa? Sasa anataka nini kwenye mkutano wa balozi?

Stop this hypocrisy
 
Nani aliwadanganya kuwa ccm imebadilika?

Hapa kilicho badilika ni majina tu
 
Kuna nuts zimelegea kichwani kwako, siyo bure! Umeelewa huo mkutano ulikuwa wa watu gani?
 
Jenerali Ulimwengu alisema hivi karibuni kuwa Taifa hili limekuwa la watu waoga/ hofu. Itachukua miaka kadhaa hofu aliyoiweka alietangulia kutoweka.
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Tanzania itaalikwa vipi kwenye mkutano wa demokrasia?

Kwa vigezo gani?
 
Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Wewe ushakuwa ni mpumbaf siku hizi naona umepatiwa kanafasi basi kameinunua akili yako ushakuwa mtumwa.
 
Utaendelea kuramba miguu ya wakubwa wako wa chama lkn utabakia na umasikini wako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…