Typical African Mentalily!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typical African Mentalily!
Kajiangalie kwenye kioo halafu urudi hapa,Kwenye ukoo wenu wa manyani usijumulishe tusiokuwa wa ukoo wenu
Kwann useme balozi anaongea na watu wema inamaana lema sio mwema?Ole Sabaya ni jambazi aliyekuwa anaungwa mkono na Magufuli
Matendo ya kinyama hayawezi kukupa utu, utabaki kuwa nyani alie changamka. Wazungu wapo sahihi kabisa.. waafrika tuna mambo ya nyani nyani mno.Kwa hiyo wazungu wakikufananisha na nyani unakasirika? Kwa nini ukasirike wakati wewe siyo nyani?
Angekuwa mwema tungekuwa naye nchini kupiga kazi kujenga nchi yetu. Lakini yeye kabakia Canada kuisemea Nchi vibaya kwa mataifa marafiki kidiplomasia na kiuchumiKwann useme balozi anaongea na watu wema inamaana lema sio mwema?
Lema angechafua hali ya hewa , wamemgwayaAmedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
Kila siku nasema huyu Salary Slip wazungu wamemuingiza kitu. Kila siku ni kuimba humu kuwasifia tu wazungu na kudharau u-afrika wetu. Yaani anajidhalilisha kweli, halafu eti ni mtumishi wa umma.Kwa hiyo wewe Salary Slip ni mzungu? Inakuongezea nini?
Wee nae kumbe upo kishabiki zaid! Alikimbia NCHI hivhiv? Kwamba hujui au unajitoaga ufaham tu!!Angekuwa mwema tungekuwa naye nchini kupiga kazi kujenga nchi yetu. Lakini yeye kabakia Canada kuisemea Nchi vibaya kwa mataifa marafiki kidiplomasia na kiuchumi
Jiangalie kwenye kioo unafanaje ndio Uje hapa… usikute unazidiwa na nyani mpaka ”IMANI” unabaki kuwa HAYAWANI.Kwenye ukoo wenu wa manyani usijumulishe tusiokuwa wa ukoo wenu
Wee jamaa nakuchukiaga sana.Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Yaani maccm ni maccm tu. Yanaishi kwa woga na ujinga mkubwa! Yan yapobulaya lakini tabia za kibongoAmedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
Nyoka ana tabia ya kujipendekeza na kujifanya anawatemblea watu majumbani kwao, wakati watu hawampendi.Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: