Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Ili uingie kwenye mkutano wowote lazima upate barua ya mwaliko au kwenye enzi hizi za mitandao, ni sharti upate "link" inayokuwezesha kuingia mkutanoni kutoka kwa muandaaji.

Kama Godbless Lema alipata mwaliko halali na kuenguliwa pamoja na kutambulika, si sawa na kitendo kilaaniwe! Lakini kama alipata "Link" kiujanja ujanja, sioni sababu ya yeye kulalamika...
 
Kwa hiyo wazungu wakikufananisha na nyani unakasirika? Kwa nini ukasirike wakati wewe siyo nyani?
Matendo ya kinyama hayawezi kukupa utu, utabaki kuwa nyani alie changamka. Wazungu wapo sahihi kabisa.. waafrika tuna mambo ya nyani nyani mno.
 
Kwann useme balozi anaongea na watu wema inamaana lema sio mwema?
Angekuwa mwema tungekuwa naye nchini kupiga kazi kujenga nchi yetu. Lakini yeye kabakia Canada kuisemea Nchi vibaya kwa mataifa marafiki kidiplomasia na kiuchumi
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Lema angechafua hali ya hewa , wamemgwaya
 
Angekuwa mwema tungekuwa naye nchini kupiga kazi kujenga nchi yetu. Lakini yeye kabakia Canada kuisemea Nchi vibaya kwa mataifa marafiki kidiplomasia na kiuchumi
Wee nae kumbe upo kishabiki zaid! Alikimbia NCHI hivhiv? Kwamba hujui au unajitoaga ufaham tu!!
 
Huyo Daktari alipaswa arudishwe nyumbani na ahudumu katika taaluma/utalaamu wake na kulipa fadhila ya nchi kwa kumsomesha

Madhara ya siasa ndio kama hayo nchi inasema wataalamu hakuna kumbe wapo huko nje wanakaa bure tu na kuwafurahisha watawala ubalozi umekuwa "ahsante" kwa makada wa CCM.
 
Kwa hiyo wewe Trillion ni nyani?
Kitakacho mtofautisha mwafrika na nyani ni matendo yake, ukichagua kuwa mwenye hofu ya Mungu na kutenda haki anakua mwanaadamu.. tofauti na hapo wewe ni nyani uliechangamka. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Wewe huko si mkimbizi?
Ukitaka Uhuru rudi nyumbani,maana Mwendazake hatunaye tena alitwaliwa na Israel.
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Yaani maccm ni maccm tu. Yanaishi kwa woga na ujinga mkubwa! Yan yapobulaya lakini tabia za kibongo
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Nyoka ana tabia ya kujipendekeza na kujifanya anawatemblea watu majumbani kwao, wakati watu hawampendi.
 
Back
Top Bottom