JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.”
“Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi Sabaya anaonewa kwa kuwa waliofanya mambo mabaya zaidi wapo nje, Sabaya aachiwe basi, walioshirikiana naye wapo na wengine ni Wabunge."
"Nitaenda kumsalimia Sabaya, Jumamosi au Jumapili nitaenda kumsalimia Jela."
Chanzo: Millard Ayo