Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Unamtembelea mfungwa/mahabusu asiyetaka kutembelewa na wewe?
Inawezekana hiii?
Kwahiyo Lema ni moja kati ya wanasiasa mashuhuri hapa Nchini?
Na hizi ndio Siasa zake?
Safari ya Ukombozi bado ndefu aseeee.
Wapinzani mjitafakari aseee.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa...
Wanaomtesa sabaya ni watu wabaya sana. Mungu tuepushe na jini la kisasi. Umma utakaposhika dola hakika fisadi na wahuni wanaomtesa sabaya na wao watakiona.
 
Inatosha sasa Lema adhibitiwe asije kujipa jukumu la kumtafuta Bashite wapige story
Kwa sasa wakikutana kwa bahati mbaya uso kwa uso na Bashite lazima Bashite ageuke Bolt nakutoka nduki ya hatari
 
Kwa sasa wakikutana kwa bahati mbaya uso kwa uso na Bashite lazima Bashite ageuke Bolt nakutoka nduki ya hatari
Maikini Bashite aliwahi kusema hakuna mtu anae kula raha duniani zaidi yake,na akasisitiza kwa kurudia mara kadha. Aliwahi kusema angewaona watumishi wa mkoa wake wanabango la kudai nyongeza ya mshahara siku ya mei mosi angewachapa viboko hadharani. Bashite alikuwa wa kupost insta kila siku yupo gym,mara Ufaransa mara Us mara South Africa akijiita baba Keegan leo hii haonekani hadharani tena kuipa hamasa timu yake ya Simba hamasa. Bashite aliwahi kutamka atae desha operation ya kuwapima Wana Dar tezi dume, Bashite aliwahi kupiga marufuku Wabunge wa Chadema wasifike Dar waliposusia Bunge
 
Jamaa anaenda kumng'ong'a tu. Daah kweli dunia duara. Natamani Magereza wamkatalie Lema asiende huko.

Ipo siku Lema atasema anaenda kuzuru kaburi la Mwendazake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninyi si mlikuwa mnataka sabaya aachiwe? Lema kasema aachiwe ila cha kushangaza hamtaki tena eti kisa ni chadema. Kweli mataga ni wapumbavu
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.”

“Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi Sabaya anaonewa kwa kuwa waliofanya mambo mabaya zaidi wapo nje, Sabaya aachiwe basi, walioshirikiana naye wapo na wengine ni Wabunge."

"Nitaenda kumsalimia Sabaya, Jumamosi au Jumapili nitaenda kumsalimia Jela."

Chanzo: Millard Ayo
Akumbuke kumpelekea vilainishi apunguze mateso jamaa wanampelekea moto wa hatari

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ijumaa moja saa 4 usiku nilishangaa kumkuta Makonda ....mita chache kutoka nyumba yake uwanja farasi Oysterbay akivuta shisha....khaaa sikuamini ....nilimsogelea kuthibitisha ni yeye nikacheka sana ....sasa hivi yeye ndio addicted wa shisha.......
 
Sasa Jombaa ukitaka hivyo kila kiongozi wa ccm atafungwa! Mambo ya Sabaya kuna sehemu yalifanywa chini ya usimamizi wa DSO( mkuu wa usalama wa Wilaya) na vijana wake na OCD( mkuu wa polisi Wilaya) na vijana wake...

Na taarifa nilizonazo baadhi ya operation za kinyama na kikatili Sabaya alimpgia cm Jpm na kumweka loud speaker mbele ya niliowataja na alipongezwa huku vijana wa tiss na polisi wakisikia.

Pili ukitaka kufatilia maovu ya utawala dhalimu wa Jpm utajikuta hata makamu wa Rais wa sasa anafungwa maana yeye alikuwa waziri wa fedha wakati kina Dotto James wanakwapua mabilioni hazina kwenda kuhonga wabunge,na madiwani na wanasiasa wa upinzani ili waunge juhudi(REJEA UGOMVI WA CAG PROFESSOR ASSAD NA MAGU WA TILION 1.5).....huuu mradi amenufaika nao sana Pole pole na Bashite japo Bashite alienda extra mile katika hili kwa kuratibu utekaji,utesaji na uuwaji wa wanaompinga Jpm.

Urafk wa Bashite na Jpm na Sabaya ulitokana na hayo niliyoyaeleza hapo juu...NA ALIYEKUWA MKURUNGENZI WA CIA( Shirika la kijajusi la Marekani) na badae kuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema wazi Bashite ni muuwaji( yaani ananyima watu haki ya kuishi) Bila kelele za wasanii na watanzania Roma mkatoliki asingekuwa hai leo hii.
Huyo hajitambui,anatakiwa akae jela mwaka mmja Ili akili ikae sawa.
 
Back
Top Bottom