Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Auliwe na nani? Kwani alizaliwa gerezani?maisha yake yote uraiani nani aliwahi kumuua? mbona gaidi mbowe aliachiwa na akaalikwa ikulu hakuna aliyemuua?

Huu ugaidi wa mbowe ukoje? Yuko uraiani na anashirikiana rais kabisa. Gaidi wa aina gani?
 
Mheshimiwa Lema nenda ukifika tusalimie. Ongea na Mr Mbowe akupe walinziwake 3 aliwaajiri kutoka Ngerengere ni maksmandoo ya TPDF yamepigans hadi Kosovo na South Sudan.

Mr Mbowe aliyakodisha yakamuue ole Sabaya na yalikuwa njiani kwe da kumuua Sombetini bahati mbaya (bahati nzuri kwake) yskaamua kupita Rau Madukani kunywa mbege na kujinafasi na wahadumu, ndipo ku.be Afande Kingai na Afande Jumanne wakaja wakayakamata hands up!

Nenda nayo,ole Sabaya apate kuyaona na menyewe yamuone ili litimie lililopangwa na Afande Urio, sting operation kama ya Robert Redford na Paul Newma
Wacache watakuelewa
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.”

“Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi Sabaya anaonewa kwa kuwa waliofanya mambo mabaya zaidi wapo nje, Sabaya aachiwe basi, walioshirikiana naye wapo na wengine ni Wabunge."

"Nitaenda kumsalimia Sabaya, Jumamosi au Jumapili nitaenda kumsalimia Jela."

Chanzo: Millard Ayo
Genge S hebu mpeni Lema 5.
 
Back
Top Bottom