JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Jamaa anaenda kumng'ong'a tu. Daah kweli dunia duara. Natamani Magereza wamkatalie Lema asiende huko.Huo ndio ukomavu wa kisiasa.
Atauliwa, serikali siyo wajinga kumzuia gerezaniAachiwe tu huyo Jambazi arudi mtaani
Na majambazi wote waachiliwe pia kwa msimamo huu. Lema ametaka na wengine waliofanya mabaya hata kumshinda sabaya wapelekwe ktk vyombo vya sheria wapate kuhukumiwa.Aachiwe tu huyo Jambazi arudi mtaani
Hahaahaa sioni tatizo ndugu, Kuna maisha baada ya siasaJamaa anaenda kumng'ong'a tu. Daah kweli dunia duara. Natamani Magereza wamkatalie Lema asiende huko.
Ipo siku Lema atasema anaenda kuzuru kaburi la Mwendazake.🤣🤣🤣🤣
Inatosha sasa Lema adhibitiwe asije kujipa jukumu la kumtafuta Bashite wapige storyUungwana ni vitendo
Sijaelewa hapo unamainisha nini " kaanza mbwembwe"Yetu macho kapewa uhuru kidogo kaanza mbwembwe shauri yake
Auliwe na nani? Kwani alizaliwa gerezani?maisha yake yote uraiani nani aliwahi kumuua? mbona gaidi mbowe aliachiwa na akaalikwa ikulu hakuna aliyemuua?Atauliwa, serikali siyo wajinga kumzuia gerezani
Acha uongo wewe.Mheshimiwa Lema nenda ukifika tusalimie. Ongea na Mr Mbowe akupe walinziwake 3 aliwaajiri kutoka Ngerengere ni maksmandoo ya TPDF yamepigans hadi Kosovo na South Sudan. Mr Mbowe aliyakodisha yakamuue ole Sabaya na yalikuwa njiani kwe da kumuua Sombetini bahati mbaya (bahati nzuri kwake) yskaamua kupita Rau Madukani kunywa mbege na kujinafasi na wahadumu, ndipo ku.be Afande Kingai na Afande Jumanne wakaja wakayakamata hands up! Nenda nayo,ole Sabaya apate kuyaona na menyewe yamuone ili litimie lililopangwa na Afande Urio, sting operation kama ya Robert Redford na Paul Newman