Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Lema ACHA kimbelembele...wakati ule Sabaya anajiona Mungu mtu nakumbuka aliandaa wahuni kule Bomang'ombe, Hai wakashambulia msafara wa mgombea urais CHADEMA Tundu Lussu kwa mawe.
Narudia Lema acha kiherehere, amekamatwa Sabaya ambaye alikuwa mratibu wa wahuni inatosha...yeye ndio alikuwa baba lao.
Kingine Lema jifunze kuchagua maneno ya kuongea majukwaani au pindi unapohojiwa.
 

Wewe ndio ulitaka kumuua Sabaya. Kajisalimishe mwenyewe.
 

Lema naye apewe gavana maana anaongea bila break shauri zake. Huwezi kusema Kama wengine hawajakamatwa Sabaya aachiwe, aachiwe kwa lipi?.
 
Lema ACHA kimbelembele...wakati ule Sabaya anajiona Mungu mtu nakumbuka aliandaa wahuni kule Bomang'ombe, Hai wakashambulia msafara wa mgombea urais CHADEMA Tundu Lussu kwa mawe...
Ushauri mzuri inampasa Lema aufanyie kazi maana naona anaropoka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…