Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

Unamtembelea mfungwa/mahabusu asiyetaka kutembelewa na wewe?
Inawezekana hiii?
Kwahiyo Lema ni moja kati ya wanasiasa mashuhuri hapa Nchini?
Na hizi ndio Siasa zake?
Safari ya Ukombozi bado ndefu aseeee.
Wapinzani mjitafakari aseee.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa...
Wanaomtesa sabaya ni watu wabaya sana. Mungu tuepushe na jini la kisasi. Umma utakaposhika dola hakika fisadi na wahuni wanaomtesa sabaya na wao watakiona.
 
Inatosha sasa Lema adhibitiwe asije kujipa jukumu la kumtafuta Bashite wapige story
Kwa sasa wakikutana kwa bahati mbaya uso kwa uso na Bashite lazima Bashite ageuke Bolt nakutoka nduki ya hatari
 
Kwa sasa wakikutana kwa bahati mbaya uso kwa uso na Bashite lazima Bashite ageuke Bolt nakutoka nduki ya hatari
Maikini Bashite aliwahi kusema hakuna mtu anae kula raha duniani zaidi yake,na akasisitiza kwa kurudia mara kadha. Aliwahi kusema angewaona watumishi wa mkoa wake wanabango la kudai nyongeza ya mshahara siku ya mei mosi angewachapa viboko hadharani. Bashite alikuwa wa kupost insta kila siku yupo gym,mara Ufaransa mara Us mara South Africa akijiita baba Keegan leo hii haonekani hadharani tena kuipa hamasa timu yake ya Simba hamasa. Bashite aliwahi kutamka atae desha operation ya kuwapima Wana Dar tezi dume, Bashite aliwahi kupiga marufuku Wabunge wa Chadema wasifike Dar waliposusia Bunge
 
Jamaa anaenda kumng'ong'a tu. Daah kweli dunia duara. Natamani Magereza wamkatalie Lema asiende huko.

Ipo siku Lema atasema anaenda kuzuru kaburi la Mwendazake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninyi si mlikuwa mnataka sabaya aachiwe? Lema kasema aachiwe ila cha kushangaza hamtaki tena eti kisa ni chadema. Kweli mataga ni wapumbavu
 
Akumbuke kumpelekea vilainishi apunguze mateso jamaa wanampelekea moto wa hatari

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ijumaa moja saa 4 usiku nilishangaa kumkuta Makonda ....mita chache kutoka nyumba yake uwanja farasi Oysterbay akivuta shisha....khaaa sikuamini ....nilimsogelea kuthibitisha ni yeye nikacheka sana ....sasa hivi yeye ndio addicted wa shisha.......
 
Huyo hajitambui,anatakiwa akae jela mwaka mmja Ili akili ikae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…