Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Nadhani ujumbe wa Lema upo wazi - watawala wa sasa wafanye kazi, na siyo kukimbia udhaifu wao kwa kumtupia lawama marehemu. Marehemu awe alitenda vema au vibaya, haituhusu, wao wanatakiwa watimize wajibu wao, au waseme ti kuwa wameshindwa.
Credibility ya anayetoa hoja kwa marehemu kwa anao watumia ujumbe.
 
Bus Sasa Lema pilipili ya shamba ya kuwashia nini? Wewe jadidili mambo ya Ontario huko.

Lakini si wewe ulimtabiria kifo Mzee wetu? Ulimuona hafai? Je, upendo wako kwake umeanza lini?
Lema nwkushauri vaa viatu vya Dr Slaa kuibua hoja nzito za kitaifa zenye maslahi kwa watanzania walio wengi utaungwa mkono na Wana CCM na wasio na vyama .

Toka Slaa aondoke Chadema kwa kwa kuzira sababu ya upuuzi huko wa kukaribisha mifisadi akina Lowasa hajapata replacement ya opposition mtu serious msimamia agenda serious za walio wengi kitaifa

Kwa hoja hii umetoa unaanza kuvaa viatu vya Dk Slaa vya kubeba agenda serious inayoweza kupaisha Chadema Tena kuwa great opposition party inayosimama na majority Tanzanians wataka umeme wa uhakika affordable na Maji ya uhakika na affordable .Go ahead Uko kwenye right track kubeba agenda za wananchi walio wengi
 
Kweli kabisa
 
Kabisa
 
Eeeh Lema leo anamkumbuka JPM, haya bana
Jamaa angeruhusu demokrasia, miili idiokotwe ufukweni, wasiojulikana wasiwepo, angekumbukwa mpaka na shetani. Alifanya baadhi mazuri tu na makubwa lakin maovu aliyofanya yamefanya yote mazuri aliyoyafanya yawe uharo mtupu. Huwez kupoteza roho za watu eti kisa ujenge flyover!!..huwez kuwanyima wastaafu mafao yao, ufukuze watumishi kinyume cha utaratibu, ukajenge liuwanja la kimataifa kijijin chato kinyume cha utaratibu kisa eti unajenga stigliers gorge..kifup mzee alifanya mengi mazuri lakin yote aliyageuza uharo yeye mwenyewe.
 
Cdm ilikaribisha mafisadi ya ccm kwa nia njema ya kuyageuza yaache ufisadi na, kwa hilo, cdm ikaifanya ccm iumie sana kwa kupunguziwa idadi ya mafisadi yake. Mwishoni fisadi likajiona halifiti cdm kusiko na ufisadi na, baada ya kujadiliana na mafisadi nyenzake huko ccm, likaamua kurejea ngamani ccm kulikofurika ufisadi na likakaribishwa na fisadis nyenziye.
 
Na kingine..... Hivi watanzania mbona tunachezewa kirahisi namna hii? Kwani 2015 mpaka 2021 mwezi wa 3, mama Samia hakuwa serikalini tena akiwa makamu wa rais? Unawezaje kumlaumu Magufuli na Samia asalimike? Mimi nadhani kama kweli Makamba na Zitto wanachosema eti kulikuwa hakuna service ya mitambo ni kweli, basi wa kwanza kuulizwa/kulaumiwa ni mama Samia.
 
Haya huwa nayasema kila siku. Alifanya mambo mabaya sana ambayo yaliharibu kila kitu.
 
Mzee wakifanya hiyo mipango mizuri ya kitaifa ma vx yatanunuliwa na nini!! Kuhudumia wananchi hawawez ila kuishi kifahari jwa kodi za wananchi huku wananchi wakiteseka wanaweza..hivi unaijua v8 wewe?!!!!
Samia alioneshe nia ya kutengeneza nchi kwa kutengeneza katiba ya haki lakin tiyar wameshamkemea....Mzanzibar kaamua isiwe tabu, ngoja ajinyamazie miaka yake mitatu imalizike akatulie zake visiwani...si unajua tena wenzetu hawa wa pwan hawatakagi makubwa wala maovu.
 
Chadema ilikuwa ndio Chama Cha kuibua ufisadi Cha kudhibiti mafisadi CCM wakiwa CCM

Godbless Lema go ahead.Mwanzo mzuri Ulichoongea kina mashiko ndani ya Chadema na ndani ya Sisi Wana CCM watanguliza Taifa kwanza vyama baadaye kwa hoja

Una hoja Godbless Lema .

Mambo serious ya kitaifa yanatakiwa kwenda beyond political parties ideology au support.Godbless Lema go ahead me as a CCM member muumini wa taifa ni kitu kuwa Taifa ni kitu kikubwa kuliko political pary au ideology nakuunga mkono una hoja hata CCM wenzangu wakupinge au Chadema wenzio wakupinge lakini una hoja nzito
 
Kiukweli ukipitia changamoto kama rais haifai kubebesha watu lawama kusema niwakaidi ama kusema ni kudra za Mungu!! Wenyejangwa wasemeje?
Miaka 60 mmeshindwa kuweka mipango endelevu kilamtu akiingia madarakani anafanya ajuavyo alafu Leo unalaumu watu kweli??
Unashindwa kusimamia vyanzo vya maji nakutengeneza Sera bora za matumizi leo unasingizia watu wakaidi!
watu wasinyeshee mazao yao? Wasinyweshe mifugo yao maji? Uliwawekea utaratibu gani ili nao wafaidi mito inayopita maeneo yao???
Mola katupa vyanzo kibao Leo MTU analalama kuwa nikudra zake!! Tusitafute mashida kama hatuna majibu ya kisayansi tukae tuu kimya kujidhalilisha siyoishu
 
Lema rudi nyumbani, huko Toronto sasa hivi ni winter baridi ni kubwa mno Magufuli keshatangulia usiogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…