Godbless Lema: sheria na utawala bora ukivurugwa hakuna yeyote atakayesalimika

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised !

My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria, ukosefu wa haki , ukosefu wa katiba bora, and to crown it all RUSHWA.
Watu wamesombwa kwa Kirikuu, hakuna ambulance, lakini magari ya washawasha, V8 na upuuzi mwingine viko kupita mahitaji!

HAYANIHUSU, WAACHE WAANDAMANE......
 
Hivi pale kariakoo hakuna Ambulance??
Moja ya kosa tulilofanya ni kukubali mfumo wa kipuuzi wa vyama vingi unaotuletea waliokuwa majambazi wa magari kuwa ndio viongozi wa sera mbadala
 
Endapo kama kwenye nchi hii kungekuwa na Utawala Bora na Unaozingatia Sheria, Basi huo Ujenzi holela usiokidhi viwango vya ubora na ujenzi usiozingatia usalama wa wakaazi kamwe usingepata nafasi ya kufanyika. Ujenzi na majenzi yangekuwa na viwango Bora, hivyo kutoa malazi na makazi salama kwa wakaazi wa majengo hayo, kinyume chake ndio imesababisha kuvuna haya majanga yanayoendelea huko Kariakoo hivi Sasa.
 
Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised !

My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria, ukosefu wa haki , ukosefu wa katiba bora, and to crown it all RUSHWA.
Watu wamesombwa kwa Kirikuu, hakuna ambulance, lakini magari ya washawasha, V8 na upuuzi mwingine viko kupita mahitaji!

HAYANIHUSU, WAACHE WAANDAMANE......
Lema alikimbia umande anajua nini zaidi ya kupiga makelele?huyu mpuuzi jana tu kasema wanachama wafukuzwe hata bila ya kusikilizwa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hivi pale kariakoo hakuna Ambulance??
Moja ya kosa tulilofanya ni kukubali mfumo wa kipuuzi wa vyama vingi unaotuletea waliokuwa majambazi wa magari kuwa ndio viongozi wa sera mbadala
Nakwambia una laana ya Jiwe...bado inawaandama, kufa umfuate
 
Hivi pale kariakoo hakuna Ambulance??
Moja ya kosa tulilofanya ni kukubali mfumo wa kipuuzi wa vyama vingi unaotuletea waliokuwa majambazi wa magari kuwa ndio viongozi wa sera mbadala
Lengo la mfumo wa Vyama vingi siyo kutuwekea viongozi wabovu ila mfumo wa nchi yetu unaamini kuwa hata ukiwa jambazi na unamiliki kadi ya ccm basi wewe ni mzalendo na Raia wa Tanzania.
 
Hivi pale kariakoo hakuna Ambulance??
Moja ya kosa tulilofanya ni kukubali mfumo wa kipuuzi wa vyama vingi unaotuletea waliokuwa majambazi wa magari kuwa ndio viongozi wa sera mbadala
Ulichoandika kinasadifu jina lako.
 
Lema alikimbia umande anajua nini zaidi ya kupiga makelele?huyu mpuuzi jana tu kasema wanachama wafukuzwe hata bila ya kusikilizwa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Anaesema ukweli siku zote huwa hatakiwi
 
Back
Top Bottom