hizo sehemu mcaga hawezi survive mana ni sawa na kuwa gospel star uarabuniHa ha ha !
Kati ya vyote mchaga hajawahi kuwa na daladala ya Dar-Zanzibar, kilometa 40 tu!
Mwoga kweli kweli kwa maji ya chumvi, pengine maji ya mto Kikafu au Karanga!
Over 20 years, still going strong.We umetoka kwenye nyumba za tembe utakuwa na akili ya kuishi nje kweli? angalia wachaga walivyojazana Ulaya na Marekani
Hawa ndio watakaokuwa wa kwanza kwenye mstari na kuwavurugu=ia wengine wote. Nahisi 'Jidu' ni mmoja kati ya watu hawa.Ndani ya mwezi watanzania watakaokuwa wamebaki ni wale wanaotembelea maVX ya umma, na wafanyabishara wachache wenye vipato vikubwa.
Nyie wanawake vizuka mna matatizo!Tena na bibi yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi zaidi tuna namhurumia.
Sasa hivi kule ni kiwinta kikali.
Atatamani hata kajoto ka Kiborloni na mbege yake.
Mkuu nimekupa like maana wewe ni mpenzi wa chama na mlengo fulani.Eeenh, 'Jidu'?
Wewe hujakaa nje. Na kama umekaa nje, basi ulijiweka jela wewe mwenyewe, bila ya kulazimishwa na yeyote.
Hivi unazungumzia jela? Kuna jela zaidi ya uliyomo sasa? Hata kama wewe ni waziri, au mkuu wa mkoa fulani; hivi kweli unajihisi kwamba upo HURU; unajuwa maana ya kuwa huru kweli!
"Maji ya bure, mikungu ya ndizi..." hivi kweli hivyo vitu ndiyo thamani ya utu wako?
Nijuavyo elimu ya Canada haina wasiwasi kwa watoto, sijui utaanzia wapi kuwahurumia watoto wale kwa kukosa elimu inayotambulika dunia nzima. Ungekuwa ni mmojawapo wa mazezeta wengi wanaofahamika hapa ukumbini, nisingehangaika kujibu upotofu huu ulioweka hapa. Lakini najua wewe ni mtu mwenye fikra nzuri.
Umenisikitisha sana na mada yako hii, kwa sababu ninakutambua kuwa mtu mwenye uelewa wa kutosha, hata kama ni mpenzi tu wa hilo lichama lililopoteza mwelekeo kabisa.
Kuna watu wanafurahia kuwa 'mateka' kwa kupewa vitu tu, a,mbavyo ni haki yao? POLE SANA.
Kabla hujaanza kumhurumia Lema na familia yake, jaribu kujihurumia wewe na waTanzania kwa ujumla kwa hii jela ya umateka tuliyojaliwa kuwa nayo. Hatujui kikomo chake ni lini.
Mkuu heri hata ungejua unayoyaongelea yalitokeaje ili uweze kujijibu mwenyewe.Eti Tanzania ni nzuri ..? Mtu anapigwa risasi mchana kweupe na watuhumiwa mpaka leo hawajakamatwa.?
Acha utani wewe..
Azzory Gwanda kapotea mchana kweupe .
Ben Saa Nane yupo wapi ..?
Maiti zimeokotwa ufukweni hakuna jibu la maana lilitolewa achilia mbali watu kutekwa na kupotezwa.
Kambona alirudi hapa akabusu mchnga wa Tanzania.Atarudi tu Kama alivyorudi kambona siti ya daladala haina mwenyewe zaidi ni kuukimbiza upepo
Unaijua Canada wewe usiifananishe na mambo ya kijinga nme kaa Uranium city, Eldorado, Toronto najuta kwanini sikuzamiaNamhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Kwa hiyo unataka kusema watoto wa lema walikua wanasoma kayumba ambapo elimu ni bure? Kwa ninavyojua mimi elimu ya canada public schools are free, na public schools zina ubora kuliko hata feza ambayo ndio tunaiona bora hapa bongoNamhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
mchaga ..uchaga uchaga uchaga..what is uchaga by the way..who the hell are you in Tz..foolish comment ever..we are not entertaining tribalism here in tz..No one should be regarded as superior than the rest, we are all equal..Mchaga ni sawa na BATA aweza kuishi nchi kavu na majini.
Jihurumie wewe na wanao mnaopenda dezo.
Unaweza kushauri ni nini angefanya ili awe salama? Maana Lisu alitishiwa, akaenda na Polisi kutoa taarifa lakini mwisho wake aliishia kushambuliwa kwa risasi takribani 30, na 16 zikaishia ndani ya mwili wake.Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Mkuu 'Jidu', mbona unaturudisha tulikokwishatoka wewe na mimi siku nyingi humu JF. Tulishaelezana kwa uwazi kabisa kila mmoja wetu anakosimamia, halafu leo unanigeuza tena na kuniita "mpenzi wa chama na mlengo fulani"?Mkuu nimekupa like maana wewe ni mpenzi wa chama na mlengo fulani.
Kuna watu hapa nchini hawana vyama na wanatoboa tu bila hata kupepesa macho.
Na kuna akina na nyie mnaoyatazama maisha hapa nchini na miwani ya vyama.
Mnateseka bure!
Sjaona mhindi akishabikia maisha ya siasa, lakini wahindi ndio kundi pekee lenye kuendesha magari ya nguvu, yakiwemo VX.
Na kwa taarifa yako, mimi ni mswahili nashabikia siasa kwa unazi tu, lakini ng'o hutaniona nimeingia siasa kichwa kichwa , biashara yangu hairuhusu.
Tatizo letu sisi waafrika ni kufikiri kutoboa ni kwenda nje na kwamba kule ni maisha kama paradiso, kula nakunywa na barabara zimetandikwa dhahabu!
Hamuelewi kuwa paradiso ni hapa hapa Tanzania.
Mimi nimeishi Ulya!
Najua maisha ya kule.
Kama huna noti wewe sawa sawa na takataka tu.
Sasa mheshimiwa Lema ukimbizi una mwisho, Mgeni siku ya kwanza, siku ya pili atapewa jembe akalime!
Simwonei wivu, namhurumia tu maana nayajua maisha ya huko.
"Paradiso" ya kuwekwa 'mateka'. Hiyo paradiso yako ni ya ajabu. Tanzania ingekuwa 'paradiso' sana, licha ya umaskini unaowakabili wananchi wetu, kama kusingekuwepo na haya ya kufanywa mateka ndani ya nchi yetu wenyewe.Tatizo letu sisi waafrika ni kufikiri kutoboa ni kwenda nje na kwamba kule ni maisha kama paradiso, kula nakunywa na barabara zimetandikwa dhahabu!
Hamuelewi kuwa paradiso ni hapa hapa Tanzania.
Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Watu kama lema wanaitwa confident fools. Hapo alipofika anafikiri hatua inayofuata kwake ni kuhamia ulaya. Anafikiri kwa ujuzi na elimu yake ndogo ataweza kuishi kirahisi kama huku nyumbani. Si muda atafahamu ni lazima atoke jasho kwa kazi za surubu. Nikwambieni kazi atakazoweza kufanya lema ya maana sana ni udereva. Kama hakujipanga kimtaji na maarifa kufanya biashara na huku afrika mpeni mwaka tu hatutamsikia kwani ataweza kutwa hata kwenye gari za kuzoa taka.Namhurumia sana Godbless Lema.