Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

Kama kwenda kuishi Canada ni jela, hebu Canada wakosee waje waseme watu waliochoka kukaa Tanzania waende jela Canada.

Ndani ya mwezi watanzania watakaokuwa wamebaki ni wale wanaotembelea maVX ya umma, na wafanyabishara wachache wenye vipato vikubwa.

Kisha baada ya mwaka wawaulize watanzania walioko jela huko Canada, wangapi wanataka kutoka kifungoni Canada kurudi Tanzania, uone kama kuna mtu atakubali kurudi.
Una akili za kitumwa.
 
We jamaa una akili ndogo sana.Unataka kupangia watu maisha.hii nchi ina kipi chakujivunia hadi uiite canada ni jela.
 
Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.

Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.

Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!

Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.

Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.

Tanzania ni nzuri!

Kama ni nzi utakuwa wale wenye rangi fulani.
 
Wivu tu.
 
Kukaa nje muda mrefu ni mzigo mzito sana kisaikolojia.
Kuna kitu peace of mond unakua nacho ukiwa ktk ardhi ya utaifa wako, kule lema kapata nyumba ya kuisho ila sio nyumbani. Same kwa lissu!
 
Kama kwenda kuishi Canada ni jela, hebu Canada wakosee waje waseme watu waliochoka kukaa Tanzania waende jela Canada.

Ndani ya mwezi watanzania watakaokuwa wamebaki ni wale wanaotembelea maVX ya umma, na wafanyabishara wachache wenye vipato vikubwa.

Kisha baada ya mwaka wawaulize watanzania walioko jela huko Canada, wangapi wanataka kutoka kifungoni Canada kurudi Tanzania, uone kama kuna mtu atakubali kurudi.
Mkuu niseme tu kuwa wewe kama sio dogo basi una matatizo ya akili. Mfano wa kitoto sana huu
 
Kukaa nje muda mrefu ni mzigo mzito sana kisaikolojia.
Kuna kitu peace of mond unakua nacho ukiwa ktk ardhi ya utaifa wako, kule lema kapata nyumba ya kuisho ila sio nyumbani. Same kwa lissu!
Mkuu hilo wengi hawalijui.
Hasa wale ambao hawajawahi kutoka nje.
Hakuna shangazi kule wa kumtembelea, wala house girl.
 
Yaani wale nzi wa kizungu?

Hauko peke yako. Wenzakao wengine ni hawa senzighe na huyu kantalambaz.

IMG_20201212_090130_668.jpg

Na ya huu uzi yanawahusu:

Back
Top Bottom