KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Umekengeuka sana.Na kuna akina na nyie mnaoyatazama maisha hapa nchini na miwani ya vyama.
Mnateseka bure!
Unajuaje "sikutoboa"?
Kama ni kuteseka, tunateseka sote. Huwezi kutoteseka kama unaona waTanzania wenzako wanateseka, hata kama mnatofautiana vyama vyenu vya siasa.
Huku kukosa utu kwenu ndiko kunakowafanya waTanzania, bila kujali vyama vyao wajisikie kuteseka.