ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Kupata kibali cha ukimbizi is a long process. Lissu yuko kwenye process ya kuomba kibali cha ukimbizi. Wakati wa kungoja maamuzi ya mwisho, muombaji hupewa residence permit. Hiyo ndiyo aliyokuwa nayo Lissu.So, ina maana unataka kusema Lissu kupewa ukimbizi? Wakati mwenye alishasema ana kibali cha kuishi Ubeligiji?
Sidhani kama unaelewa utofauti kati ya hivyo vitu viwili ulivyoviandika (Residence permit and ukimbizi - refugee). Huwezi kuwa na residence permit ambayo ina hadhi ya juu na inakuruhusu kufanya mambo mengi, ukaenda kuomba ukimbizi ambao una hadhi ya chini na uhanyimwa uhuru kufanya mambo yako ikiwa pamoja na kusafiri huku na kule.Kupata kibali cha ukimbizi is a long process. Lissu yuko kwenye process ya kuomba kibali cha ukimbizi. Wakati wa kungoja maamuzi ya mwisho, muombaji hupewa residence permit. Hiyo ndiyo aliyokuwa nayo Lissu.
Ni mipango mkakati,kufitini TanzaniaLema si mkimbizi, wewe msajili wao?
mmezidi ubazazi, mwawakimbiza makwao,
kwani ya nini makazi, si bora ya roho zao?
Yu eni hechi si ara, wajua ni mkimbizi!
(UNHCR = "Yu eni hechi si ara" wanayo orodha ya wakimbizi. Jiridhishe Lema hayumo.)
Ni mipango mkakati,kufitini Tanzania
Na kamwe hafurukuti,atakuja kujutia
Yakamkuta mauti,kamwe kwetu kuingia
Lema kweli ni jahula,dawa ya deni kulipa.
Itabidu afungue baa huko au duka la reja rejaNamhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Ughaibuni vibali vya biashara yoyote ni very very strictly controlled.Itabidu afungue baa huko au duka la reja reja
Hivi katika maandishi uliyosoma kuna sehemu yoyote nilipoandika kuwa "...kila mtu huko au Canada ni tajiri"? Haya maneno umeyatoa wapi kama sio kutoelewa kilichoandikwa na wewe kujibandikia unayofikiri wewe?Kila nchi unao matajiri na maskini, kama unafikiria kila mtu huko Ulaya au Canada ni tajiri wewe bado sana tu. Pole sana.
Mwashabikia ujinga,eti nchi kakimbiaHizi tuhuma Senzige, zakushusha hadhi yako,
Hizi waambie ndege, siyo wasomi wenzako,
Au umepata mbege, kuzipanga beti zako?
Linganisha usemayo, na ukweli hapa chini!
Je Lema si mkimbizi, wewe msajili wao?
Au hata mwangalizi, wa wale wakimbiao?
Kwa wote wakimbizi, si ipo orodha yao?
UNHCR, Orodhani yumo Lema!
Orodha yako ni ipi, au wapata Lumumba?
Sababu za Lema zipi, au macho mmefumba?
Adaiwacho ni kipi, mbona mnayumba yumba!
Msicheze na UN, karibu mtaumbuka!
Bora kwenye hiyo u call it jela ya kufikirika kuliko KABURI... CCM ya leo inaua watu, kuwapa vilema vya maisha wananchi wafanya, kiwafunga vifungo virefu kwa makosa ya kubambikiza nk...shame on you!! HOJA hamna iliyobaki ni kuwatisha wananchi.Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Mwashabikia ujinga,eti nchi kakimbia
Niambie lipi janga,yeye limemfikia ?
Mambo hayo ya kupanga,mzidi kulialia
Unang'ang'ana orodha,ni watu wameandika !
Achana na mtoa mada.. amevurugwa.. eti Canada ni kifungo..!!Kama kwenda kuishi Canada ni jela, hebu Canada wakosee waje waseme watu waliochoka kukaa Tanzania waende jela Canada.
Ndani ya mwezi watanzania watakaokuwa wamebaki ni wale wanaotembelea maVX ya umma, na wafanyabishara wachache wenye vipato vikubwa.
Kisha baada ya mwaka wawaulize watanzania walioko jela huko Canada, wangapi wanataka kutoka kifungoni Canada kurudi Tanzania, uone kama kuna mtu atakubali kurudi.
Basi wewe ndio huelewi. Ukimbizi unatoa haki zaidi kuliko residence permit. Mkimbizi ana haki almost like raia.Sidhani kama unaelewa utofauti kati ya hivyo vitu viwili ulivyoviandika (Residence permit and ukimbizi - refugee). Huwezi kuwa na residence permit ambayo ina hadhi ya juu na inakuruhusu kufanya mambo mengi, ukaenda kuomba ukimbizi ambao una hadhi ya chini na uhanyimwa uhuru kufanya mambo yako ikiwa pamoja na kusafiri huku na kule.
Lissu mwenye kwa matamshi yake amesema yeye hajaomba ukimbizi nchi yoyote
Opposition leader Tundu Lissu leaves Tanzania – DW – 11/11/2020
After seeking protection in the German Embassy, Lissu has left for Brussels with the help of Western diplomats. He told DW that threats against him have increased after he challenged John Magufuli for the presidency.m.dw.com
Nasubiri kusikia hizo haki mkimbizi anapewa kuliko residence permit holder. Haki za matibabu? Haki za kujiendeleza na masomo, haki ya kufanyakazi? ukiwa permit holder hizo haki unapewa pia.Basi wewe ndio huelewi. Ukimbizi unatoa haki zaidi kuliko residence permit. Mkimbizi ana haki almost like raia.
Kifo cha kuuawa wewe na familia yako , na utamu wa Tanzania kipi ni kizuri zaidi?Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani?Nasubiri kusikia hizo haki mkimbizi anapewa kuliko residence permit holder. Haki za matibabu? Haki za kujiendeleza na masomo, haki ya kufanyakazi? ukiwa permit holder hizo haki unapewa pia.
Kitu cha kuzingatia, ukimbizi sio permanent? Unapewa ukimbizi mpaka pale inapoonekana usalama wako umetengemaa. Sasa unawezaje kuweka investment kwenye nchi iliyokupa ukimbizi wakati hujuwi lini utaambiwa urudi kwenu au uhamie nchi nyingine?
Kwa utawala huu wa muhutu ni heri kuwa mkimbizi. Zaidi ya visasi na mauaji lakini pia maisha ni magumu mno. Kifupi, hafai kuwa Rais na hakushinda uchaguzi. Asilimia 84 ni za uchafuzi.Kama kwenda kuishi Canada ni jela, hebu Canada wakosee waje waseme watu waliochoka kukaa Tanzania waende jela Canada.