Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
inabidi ujichunguze.Inawezekana Hilo, lakini wengine huwa ni masharti ya mganga.
Huyo ni mfanyabiashara na ni mchagga, usisahau hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabidi ujichunguze.Inawezekana Hilo, lakini wengine huwa ni masharti ya mganga.
Huyo ni mfanyabiashara na ni mchagga, usisahau hilo
Kabisa kabisa.Unaweza kukuta Mama amemuundia zengwe Baba ili kumpoteza..
Huyo mama ahojiwe kwa kina...saa nne usiku mama yupo nje anafanya shughuli za nyumbani... HUYO MWANAMJE ANA JAMBO LAKE.
MostlyUnaweza kukuta Mama amemuundia zengwe Baba ili kumpoteza..
Mazingira ya Baba kutaka kumbaka mtoto ama Mazingira ya Baba kumbaka mtoto?Mazingira kama hayo yalitokea Moshi au Arusha tukabishana humu ila ukweli ni masharti ya waganga maana yule wa mwanzo ni mfanyabiashara kama huyo wote wachaga na alikuwa na mabinti wakubwa tu ..kwa nn afaute kitoto
Ishu nzima ni kubaka ambayo inaonekana kama ni kweli basi sio tamaa za kimwili itakuwa mambo ya waganga..Mazingira ya Baba kutaka kumbaka mtoto ama Mazingira ya Baba kumbaka mtoto?
Maana hapa tunaambiwa Baba alijaribu kumbaka mtoto, ina maana kitendo hakikuwa kimefanyika.
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji Godless Mushi (39) mfanyabiashara wa kuza vifaa vya magari kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano
Taarifa ya jeshi la polisi kwa vyombo vya Habari inasema mnamo Aprili 2/2023 saa nne usiku katika mtaa wa Shibula wilayani llemela mwanaume huyo alitaka kumfanyia mtoto wake kitendo cha udhalilishaji wa kingono wakati akiwa amelala chumbani kwenye kitanda cha wazazi wake wakati mama yake mazazi akiwa anaendelea na shughuli zake za nyumbani
Aidha jeshi hilo kupitia dawati la jinsia na Watoto limesema uchunguzi kuhusiana na tukio hilo unaendelea kwa kuwahoi mashahidi na kumfanyia binti huyo chunguzi wa kitaalamu, na kwamba wanashirikiana na ofisi ya Ustawi wa jamii Mkoa wa Mwanza na upelelezi utakapo kamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani
Chanzo: East Africa TV
Kabisa wakati huo ndio muda wakuchezea de libolozsaa nne usiku mama yupo nje anafanya shughuli za nyumbani... HUYO MWANAMJE ANA JAMBO LAKE.
Aisee! HatariAdhabu kali apatiwe
Ikiwezekana aachiwe uwezo wa kutoa mkojo tuu