Godbless Mushi adaiwa kujaribu kumbaka mtoto wake wa miaka mitano

Hapo ni ushirikina tu itakua
 
Uchunguzi makini utagundua jambo kwenye hili tukio
 
Taarifa ya jeshi la polisi ukiisoma inaonyesha ni jinsi gani mtuhumiwa hana hatia💔😥
 
Kama kitendo hakijafanyika huyo mama kampeleka polisi mumewe ili iweje? Kwenye familia hawana wakubwa zao? 🤔
 
kuna faza mmoja mchaga Ana binti yake yopo six kilamda anamwonya kuhusu wanaume na mbinu tunazo tumia kulaghai mabinti

Sasa najiuliza huyu anataka kumla mwenyewe Nini🤔🤔

binti mrembo kajaa michunus ya nyege usoni baba anamlinda
 
Mazingira kama hayo yalitokea Moshi au Arusha tukabishana humu ila ukweli ni masharti ya waganga maana yule wa mwanzo ni mfanyabiashara kama huyo wote wachaga na alikuwa na mabinti wakubwa tu ..kwa nn afaute kitoto
Mazingira ya Baba kutaka kumbaka mtoto ama Mazingira ya Baba kumbaka mtoto?

Maana hapa tunaambiwa Baba alijaribu kumbaka mtoto, ina maana kitendo hakikuwa kimefanyika.
 
Mazingira ya Baba kutaka kumbaka mtoto ama Mazingira ya Baba kumbaka mtoto?

Maana hapa tunaambiwa Baba alijaribu kumbaka mtoto, ina maana kitendo hakikuwa kimefanyika.
Ishu nzima ni kubaka ambayo inaonekana kama ni kweli basi sio tamaa za kimwili itakuwa mambo ya waganga..

Haingiii akilini kabisa maana wengine wanadai labda ni mchongo
 
Wachaga bhana! Nakuja na orodha ya Dar ya wachagga wanaotomber watoto wao
 

Adhabu kali apatiwe
Ikiwezekana aachiwe uwezo wa kutoa mkojo tuu
 
Hapo kuna mawili
1. Masharti ya mganga kupata utajiri
2. Fitina za mke ili achukue mali zote huku mume akiwa gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…