Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nashangaa huyu analeta vitisho wakati washamuuaTo spill the beans; The man's fate was decided the same way as our beloved brother Běŋ, and that was long before the ballot and its subsequent killings.
Nashangaa huyu analeta vitisho wakati washamuua
Nahisi wanatafuta closure kaka kwa hiyo mimi nawaelewaKila siku mikwara ya nini? Kama hunacapacity ya kufanya chochote unajikalia kimya ty
Huyu nae bogus tuu, kageuza utekaji wa ndugu yake kitega uchumi?Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Augustino kwenda wapi?? Hawa wamechanganyikiwa na hawako serious
Yule captain?🤣🤣Angalau wanafurukuta
Kuna mamia ya watu walipotea wengine kuuawa. Lakini wazazi na ndugu zao walikuwa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Huyu Mama Polepole aliweza kuzaa
Hii familia tayari imeumizwa sana.Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Godfrey & Augustino ni mtu na mdogo wake au mtu na kaka yake?Augustino kwenda wapi?? Hawa wamechanganyikiwa na hawako serious
Sidhani kama anawajua hao mazafakas vizuri. Wameua maelfu ya innocent civilians, lakini hawana hata chembe ya remorse! Sijui kwanini yeye anadhani wanaweza kutishika na hili la ufisadi.Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Kwa kauli hii nimeamini yupo hai au wanao pambana ndani ya mfumo wanajua hayupo hai Ila wanaitumia familia hii kusukuma kete zao.Balozi Polepole bado yupo hai?
naona lishapita lileKama lile la tar 29 mwezi wa kumi 2025 linataka kupita kama si kuoita tayari unadhani ni kitu gani kitawapa hofu tena?
Tarehe 29 kaa la Moto shingoni.naona lishapita lile
Usiwachanganye. Huyu ni mdogo, na yule ni mkubwa kwa Humphrey.Huyu naye amerukwa na akili kila siku anapiga mkwala mbuzi tu, kaka yake ameshauwawa siku nyingi tu