Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Usiwachanganye. Huyu ni mdogo, na yule ni mkubwa kwa Humphrey.

Tatizo lao ni hilo hilo moja, kudhani kwamba vitisho kama hivyo vitasaidia kumwachia ndugu yao.
Na siku zote mtu anayeweza kufanya jambo hazungumzi wala kutoa vitisho yeye anafanya kwa vitendo.
 
Naona HP bado mzima kbs, watu wanapenyeza taarifa kwa familia hii. Mpaka uchaguzi tutasikia na kuona mengi sana
 
Hizo ndege hazihusiani na mwendq zake kweli?Ila sioni wakitwseka na mkwara huu
 
Sidhani kama watajali vitisho hivi, wameshapita level ya ubinadamu wameshakuwa wanyama, they don't care anything,

kama wanaweza kukata mtu kichwa ili kuwatisha wakosoaji unadhani watatishika kwa kusema ufisadi wa ndege tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…