Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Yule Augustino alionekana kama atafanya jambo serious. Baada ya kupotea ghafla na matumaini ya tuliowengi ya kumuona Polepole tena yakapotea

Kilichobaki kwao, kama uwezo wanao hiyo familia, ni kutafuta namna ya kulipiza kisasi tu! Haya maswala ya kusema ufisadi wao hata hayawasumbui tena

Kisasi kinaweza kulipwa kwa namna nyingi tu na wahusika wakatoka machozi kama familia ya Polepole inavyotoka machozi
 
Balozi Polepole bado yupo hai?
Mkuu Sajo hii huwa tunaita ''tisha toto''. NI ya kizamani lakini namwelewa sana huyu ndugu anapoitumia kwa sababu kilichotokea kwa Polepole kinasikitisha kwa kila mtu. Nadhani wengi tunajua kuwa unapompoteza mtu wako wa karibu kama ndugu, moyo wako hauwezi kuamini kilichotokea. Hisia zangu zinanituma niamini kuwa huyu mtu aliuawa kama lile gazeti la nje lilivyoandika. I wish awe still alive, lakini matumaini yangu ni 1%.
 
Uko sahihi mno mno. Ufisadi wa ndege umtishe Samia? Pamoja na kuwa wote tuna uchangu wa Polepole kupotezwa ila hawa ndugu zake nao ni watu wasio na strategic yoyote. Hawana uwezo wa kufanya chohote lakini wanajaribu kutoa mikwala ya kizamani. Hizo nguvu ningependa sana wazitumie ku-deal na jumuia za kimataifa wawasaidie. Na hsa mama yake lepole anaweza ´kuwa anaitisha press kila mwezi na kutaka haki.
 
Kukaa kimya ndugu yako anapouliwa ndiyo mental health.
Huwezi kunielewa because umemeza ndoano

Huyu bwana ni decoy, confused na tatizo

He always shows up wakati fulani na kutokomea

Nilidhani una akili

The day mtakapogndua falsafa ya Tanzania should not hinge on hizi political spikes and drama… tutakua tumeliokoa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…