Huyu naye tulishamchoka bwana! Kaka yake hajarudishwa mpaka leo yeye anabwabwaja tu! Mara oooooh, Kikwete ongeza ulinzi nitakula kichwa, yako wapiiiiii? Sasa ufisadi wa ndege Sisi unatuhusu nini?Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
Sasa wewe ulitaka afanyaje? Nyie wewenye mmeshia kusema free Polepole no action yeye ambaye mtu mmoja anatafanyajeHuyu nae anakua kama anaimba taarabu wenzie wanafanya kweli
Tokea ameanza kutishia nini kimefanyika?
Wewe ulitaka afanyaje? Nyie wenyewe mmeshia kupiga kelele za free Polepole without action wakati ndugu yake alikuwa anawapigania mpaka akaacha kazi alafu sasa mnamkejeli ndugu yakeAugustino kwenda wapi?? Hawa wamechanganyikiwa na hawako serious
Siyo kwamba alikua anawapigania upande mwingine wa CCM?Wewe ulitaka afanyaje? Nyie wenyewe mmeshia kupiga kelele za free Polepole without action wakati ndugu yake alikuwa anawapigania mpaka akaacha kazi alafu sasa mnamkejeli ndugu yake
Aliacha kazi kwa maslahi yakeWewe ulitaka afanyaje? Nyie wenyewe mmeshia kupiga kelele za free Polepole without action wakati ndugu yake alikuwa anawapigania mpaka akaacha kazi alafu sasa mnamkejeli ndugu yake
NashangaaBado mnaamini Walevi?
Hawa wauaji wana laana...Tusimlaumu, suala lile linaweza mletea mtu trauma kiasi cha kuwa katika hali hiyo; kama ambavyo sisi tunaumia kila leo juu ya Ɓɛŋ..
Polepole kazungumzia katiba, ufisadi na maisha ya mtanzania kama ni ya upande basi utakuwa unashida binafsiSiyo kwamba alikua anawapigania upande mwingine wa CCM?
Hayo maslahi yake ni yapi? Unajua mshahara wa balozi ni kiasi gani? Wakati ameamua kuwasemea watanzania na kuikosoa Serikali unafikiri alikuwa ajui risk gani ataenda kukutana nayo?Aliacha kazi kwa maslahi yake
✅✅With all due respect Mr. Godfrey. Natambua maumivu na uchungu ulionao kufuatia kupotezwa kwa mheshiwa Polepole lkn sidhani kama swala la ndege linaweza kuwa a best leverage kwani kwa level ya maovu, na ubandhilifu wanaoufanya na kukataa kuwa accountable hata kwenye vitu vilivyowazi watajali issue ya ndege. The only time wanaweza kupay attention ni pale ambapo uhai wao au wa immediate family members wao utahusika au marija yao ya kunyonya asali ya taifa itakatwa
Angekuwa ni ndugu yako Katekwa usingeongea hivyo wewe si umeona Polepole aliwapigia watanzania na hao watanzania wamekaa kimyaWakimuachia Humphrey atanyamaza
Wanaomfatilia huyu, wote hawana akili!Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
Hayupo sawa huyu, mliopo karibu msaidieni ndugu yetu.Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
Hana akili watamuachiaje marehemuGodfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
Wakimuachia Humphrey atanyamazaGodfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
nilipoteza ndugu na aliuwawa miaka Tisa iliyopitaAngekuwa ni ndugu yako Katekwa usingeongea hivyo wewe si umeona Polepole aliwapigia watanzania na hao watanzania wamekaa kimya