Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Ulisoma bandiko la TLS? Katiba inamtaka raisi mpya afanye nini ashikapo madaraka?

Kama walishindwa kuheshimu katiba wakiongozwa na adui wa ufisadi wataweza vipi kwa huyu mama?

Yes I did read it!

Nimetoa mchango wangu pia!

Ni aibu kwa Organ kama TLS kutembea ndani ya loopholes!
 
Raisi Mama Samia
Ili twende vizuri, tunaomba clearance ya maana haswa kwenye baraza la mawaziri clear appointees wote wa hayati, uanze na kikosi kazi chako.

Unaenenda kwa hekima huwezi kufanya kazi na wakurupukaji.
Wacheni Mungu aitwe Mungu...si kwa MAOMBI yale
 
ATCL inakula loss ya 60B kila mwaka. Vipi una maoni gani MATAGA?
 
Hahahahaha ignore list unaweza nisome uki expand Ile

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ID yangu ni hii hii toka 2008. Hakuna mabadiliko. Tunapiga spana meko kwa maovu aliyotutendea
Zile zingine umeziacha mkuu?

Huna uwezo wa kumpiga spana Meko wewe sisi tunaendelea na hapa kazi tu na Mama Samia.

Wapinzani wameshapotezana sasa wanashangilia mambo ya CCM hadi wanafikiri Mama Samia ni mwanachama wa Saccos ya Chadema.

Mara paa 2025 uchaguzi huooo Chama Dume tena linachukua nchi wapinzani wanaendelea kusema wameibiwa kura...!! Hahahaha... aliyewapa jina la nyumb... alifikiri sana. Hivi kwa nini aliwachagulia jina hilo mkuu?
 
Hivi mkuu unafikiri kama ikiwepo Katiba Mpya na Tume Huru ndiyo upinzani utashinda uchaguzi? Kwa taarifa yako CCM ni Chama Dume kama kile Chama cha China. Katiba inaweza kutengenezwa na Tume Huru kama mnavyotaka na bado mkashindwa.

Upinzani wa nchi hii bado sana wengi wao ni wachumia tumbo tu umewaona hao wanawake wenu Covid 19 siku zote mlikuwa mnawaita wapambanaji sasa wako wapi?
 
Humu comment zote zinaonyesha kumuunga mkono mama Samia.
Nachoona ni kama mnamgombania Rais.
Nyinyi wote ni wa Rais Samia,Rais ambae mpaka sasa kafanikiwa kuwalainisha wagumu wasiolainika kirahisi kumuunga mkono.

Sasa nasema hivi twendeni na muheshimiwa Rais Samia,tusimgombanie kila kundi lijione ndo linahakinae zaidi.
 
Aliyekuambia uwepo wa katiba mpya ni lengo la upinzani kushika hatamu ni nani?

Lengo la katiba mpya uwepo wa mihimili huru wananchi ndio wamuweke mtu wanayemtaka wao madarakani kihahali ...

Pili mtu huyo wakati wowote akienda kinyume wanayo ruksa ya kumuhoji naye atakua na haki ya kujitetea na abainikapo amekosea wamuondoe bila kupepesa macho...

Sio habari za mtu mmoja kujiamulia tu atakavyo kuwavuta watu kama pepo za Kusi na Kaskazi yani maamuzi yanategemea na siku hiyo ameamka vipi au kushauriana na kakikundi ka watu wachache chamber

Sasa nakuachia swali lini mara ya mwisho umeshuhudia kiongozi amewajibishwa na wenye nchi ambao ndio wananchi na kutolewa madarakani ukianza kukusanya matukio ya utumiaji mbovu wa madaraka hadi ubadhirifu wa mali ya umma .??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…