thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Karipoti polisi ,ndio utaratibu,pengine ana daiwaTaarifa za hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaodai kuwa maafisa usalama wamemvamia Mwanachama wa Chadema Malisa GJ maeneo ya Mbezi Beach. Chochote kitakachotokea juu yake wao ndio watakuwa na majibu!
View attachment 1041861
Miaka ya 70 hadi 80 kule Latin America kulikuwa na Desaparecidos. Waliopotezwa. Ilikuwa wakati wa tawala za kijeshi akina Augusto Pinochet wakiwa kwenye kilele chao.View attachment 1041855
Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach
Kwahiyo mwajiri wako akikwambia kalia msumari utakalia?Kwaakili yako wewe unaweza shindana na mwajili wako
Wewe ulitaka kila siku aisifie serikali? Mitazamo lazima itofautiane.Siku zote malisa anaikashifu selikali yaani ujinga wake hautofautiani na mage kimambi
Awamu hii Usalama wamekuwa kikundi cha kuteka wana inchiNi kweli Malisa GJ amevamiwa nyumbani na watu wa usalama wa Taifa wameondoka naye
Kumbe unaogopa eeh! Mie nikajua mwenzangu una roho ya chuma.... πOh! My God! π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Bora wewe umenielewesha vizuri kuliko toto moja linafikiri wote tuko huko au kwenye siasaalishiriki kura za maoni moshi vijijini pia ni kada na yupo active mitandaoni (mikutano si imezuiwa) na kutokana na kabila lake yupo karibu na mwenyekiti