Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Kwakweli bila shaka hiki ndicho chanzo cha uvamizi!
 
Wezi wanaenda saa kumi na moja kuvamia? Halafu wanataka wafunguliwe mlango waingie? Ngoja nisubiri kukuche kwanza...
 
Wezi wanaenda saa kumi na moja kuvamia? Halafu wanataka wafunguliwe mlango waingie? Ngoja nisubiri kukuche kwanza...
Saa 11 hiyo nchi gani Mkuu? Hapa Tzee ambako ndiko tukio lilipotokea ni saa 10 takribani na dakika 40 usiku,na hii thread imeletwa lisaa limoja lililopita.
That means tukio limetokea saa 8-9 usiku huu.
 
Eeh Mwenyenzi Mungu tunakuomba ukamnusuru huyu mja wako na hili janga la kung'olewa kucha, meno, n.k
[emoji120] [emoji120]
 
Saa 11 hiyo nchi gani Mkuu? Hapa Tzee ambako ndiko tukio lilipotokea ni saa 10 takribani na dakika 40 usiku,na hii thread imeletwa lisaa limoja lililopita.
That means tukio limetokea saa 8-9 usiku huu.
Labda anaishi huko Ughaibuni mkuu!!
 
Hivi mshana jr hakuna njia watu tukafanya "utaalamu" wa kuwatia upofu hawa jamaa wasione mlango au njia ya kukimbilia hadi kukuche na kuwakamata kuwabaini wametumwa na nani, wao ni kina nani na jee wanamahusiano na wale walio mchukua Ben? Pia Ben yuko wapi?
Majibu ya haraka please!
SOS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…