Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
2
Self evident truth au appeal to self evident truth?
Uthibitisho kwa maoni yako au unamsemea?Nilimuonyesha hilo na ule ni uthibitisho ni juu yake kukubali au kutokubali, kutokuendelea kwake kujadili lile jambo ni ishara ya kuwa nilichokiweka ni ushahidi na ni uhalisia, ndiyo maana hakuweza kupinga kwa vyovyote.
Bila kuonyesha, huo ni mdumange na kukimbia hoja. Hivi ndivyo mlivyo, mwenzako kidogo alijaribu kutoa ufafanuzi baada ya kuwa nambana, sababu tabia yenu huwa mnakimbia hoja. Sasa wewe onyesha ya kuwa kuwepo kwa ulimwengu siyo "Self evident truth".
Self evident truth au appeal to self evident truth?