Uthibitisho kwa maoni yako au unamsemea?Nilimuonyesha hilo na ule ni uthibitisho ni juu yake kukubali au kutokubali, kutokuendelea kwake kujadili lile jambo ni ishara ya kuwa nilichokiweka ni ushahidi na ni uhalisia, ndiyo maana hakuweza kupinga kwa vyovyote.
Bila kuonyesha, huo ni mdumange na kukimbia hoja. Hivi ndivyo mlivyo, mwenzako kidogo alijaribu kutoa ufafanuzi baada ya kuwa nambana, sababu tabia yenu huwa mnakimbia hoja. Sasa wewe onyesha ya kuwa kuwepo kwa ulimwengu siyo "Self evident truth".
Penye mipaka hapana free willTofautisha adhabu na taratibu.
Ukiwa na familia yako kisha ukawaeleza ikifika saa 12 jioni muwe mpo ndani ya nyumba na atayekosekana ataadhibiwa huo ni utaratibu wala si adhabu.
Na hata hiyo free will ina mipaka katika kufanya chochote sababu ya utaratibu wa matokeo mazuri, maana ulimwengu ni muunganiko wa viumbe vyote hai na visivyo hai, vinavyoonekana na visivyoonekana tena kwa kutegemeana kimaisha.
Kilichokuwa katika kweli hakiwezi kuwa kwenye imaniHistoria pia inaonesha imani zilizokuwa ni kweli all along. Nyingine zinaweza zisiwe kweli kamilifu lakini ile kiujumla ni za kweli au zikawa zina ukweli mwingi tu.
Kazi ni kwetu kuzichunguza na kujichunguza kadri tunavyoendelea kuishi nazo.
Ndio maana mi huwa nasema tuanze na kuamini kuwa Mungu yupo, halafu ndio tubaki tunabishana kuwa yupojepoje. In fact sitegemei mijadala ya yupojepoje kuisha leo au kesho! Hii ni kazi tutakayoendelea nayo mpaka mbele sana katika safari yetu ya milele!!
Wewe unatumia mbinu za ubishi wa kijinga kujielimisha, una provoke watu kijinga ili upate elimu muhimu ambayo huna, lakini si muwazi na hutaki kukubali.Tunapeana faida watu tumetofautiana ufahamu na maarifa.
Haya mambo mepesi sana hapa ulitakiwa uonyeshe uwezekano wa kinyume chake, kwamba self evident truth si hivyo ilivyo lakini mpaka muda huu hujafanya hivyo. Maana ya self evident truth ni kuwa uwepo wa jambo fulani huonyesha uwepo wa aliyefanya kilichopo kiwepo. Ndiyo maana jambo hili nilipokutaka utoe ufafanuzi ukashindwa na huwezi. Mfano uwepo wako wewe unaonyesha umetokana na kitu fulani au vitu fulani, hakuna kitu kilichotokana pasi na kitu.Nimekujibu hiyo ni logical fallacy ya appeal to self evident truth, kulingana na wewe ulivyoweka madai kuwa jambo fulani linapaswa kukubaliwa bila uthibitisho kwasababu i self evident truth. Na sio mara ya kwanza nakuambia
Tatizo lenu liko pale pale, mimi logic nimeisoma kote kote yaani nimesoma kwa wale wanao ipigia chapuo na nimeisoma kwa wale wanao pinga, vitu ambavyo nyinyi hamjawahi kuvifanya.KNimebaini kumbe swala lako la kupinga logic linasababishwa na wewe kutokujua logic ni nini
Saa ndiyo maana tukasema hivi elezea chanzo cha ulimwengu bila kuonyesha muanzilishi wake maana yake unataka kutuambia Ulimwengu umetokana pasi na chochote,sasa ndiyo uonyeshe hilo. Haya mambo hayataki kona kona.Hiyo ni reason ya kishamba, kinachoonekana kwako ni self evident truth sio necessary kuwa kionekane ni self evident kwa mtu mwingine na ndio hapo unapo hitajika ku reason zaidi.
Sasa ndiyo ukosoe nilichokiandika kwa hoja na ubainifu, usilete stori na kukimbia hoja.Usichanganye mawazo yako au mtazamo wako binafsi na interpretation ya self evident truth
Sasa hili nakuachia wewe umuulize.Uthibitisho kwa maoni yako au unamsemea?
Self evident truth.Self evident truth au appeal to self evident truth?
Tofauti yangu mimi na nyinyi ni kuwa mimi nilifunzwa adabu kwanza za kutafuta elimu kabla ya elimu yenyewe, ndiyo maana kwangu kusema "sijui" ni nusu ya elimu.Wewe unatumia mbinu za ubishi wa kijinga kujielimisha, una provoke watu kijinga ili upate elimu muhimu ambayo huna, lakini si muwazi na hutaki kukubali.
Ningeona hilo ningekubali.Mpaka sasa hujakubali kuwa umejifunza kuwa Aristotle hakuanzisha logic, na kwamba kusema hivyo miongoni mwa watu waliosoma historia ni sawa na kujivua nguo.
Unarudia kosa lile lile.Yani animalistic antagonism ya kutetea upande wako bila kuangalia logic.
Uzuri sijawahi kujadiliana na mtu kwa lengo nimridhishe au nitarajie kumridhisha, mimi najadiliana na mtu kumrekebisha au nipate faida toka kwake akikubali sawa asipo kubali sawa, ndiyo maana kwangu kufikia jitimisho la makunaliano katika mjadala si lengo. Haya nimejifunza katika kitabu "Adab al Bahth wa al munadhara (The Etiquett of research and debate) cha Imam Ash-Shanqiity.Kama hata unajua logic ni nini.
Maana mpaka saaa sijaridhuka kwamba unajua hata logic maana yaje ni nini.
Nimecheka sana, sasa si angalau ungeweka hoja mzee ?Bqck to basics.
Mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Na tunaweza kuthibitisha Mungu huyo hayupo, kimantiki.
Kwa kuangalia jinsi dunia hii iliyopo inavyomkanusha.
Kwa kuangalia the problem of evil.
Basically, Mungu huyu ni mutually exclusive na ulimwengu huu.
Ama ulimwengu huu unakuwepo, ama Mungu huyo anakuwepo.
Viwili hivi haviwezi kuwapo pamoja.
There is an inherent contradiction in that God existing and this world existing also.
This world exists.
Therefore, that God does not exist.
Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
Utabaki mstari huohuo mpaka ujibu swali langu. Unalikumbuka? Mpqkq somo likuingie ndiyo ntakupeleka mstari mwingine.Lile swali langu nililo kuuliza bado hujalijibu.
Nilikwambia mpaka unaingia kaburini hutaweza, huu mwaka wa tatu unaenda.
Kubishana nilikuwa nabishana zamani nilipokuwa sijui wapi pakuchukua elimu. Ila baada ya kujua namshukuru Mola wangu mlezi, nakitoa kile kidogo alichoniruzuku katika elimi. Sibishani na mtu ila watu wanafanya hivyo.
Kama kutakuwa na maana nyingine ya tamko hili, lihudhurishe tu.
Yani ulipoandika tu kwamba Aristotle kaanzisha logic nikakuona mjinga kupita maelezo.Tofauti yangu mimi na nyinyi ni kuwa mimi nilifunzwa adabu kwanza za kutafuta elimu kabla ya elimu yenyewe, ndiyo maana kwangu kusema "sijui" ni nusu ya elimu.
Yaani kuna baadhi ya elimu wanazuoni wetu walishamaliza katika kuzikosoa, kwahiyo sisi tunasoma waliyo yaandika na kuyaelewa kisha tunawazindua wengine.
Japo elimu ni bahari, mimi kuna vitu naweza kujifunza kwako ila siyo Falsafa, Logic, Uhakiki wa habari na DINI. Hili wakubwa zetu walishamaliza, na eakajibu hoja za wakubwa zenu wote. Mnfekuwa ni watu wa kusoma na kufanya utafiti ningewawekea vitabu mkavisome mpate faida.
Ningeona hilo ningekubali.
Unarudia kosa lile lile.
Uzuri sijawahi kujadiliana na mtu kwa lengo nimridhishe au nitarajie kumridhisha, mimi najadiliana na mtu kumrekebisha au nipate faida toka kwake akikubali sawa asipo kubali sawa, ndiyo maana kwangu kufikia jitimisho la makunaliano katika mjadala si lengo. Haya nimejifunza katika kitabu "Adab al Bahth wa al munadhara (The Etiquett of research and debate) cha Imam Ash-Shanqiity.
Kingine ajabu katika maana za logic zote nilizo zitoa hukuweza kukosoa hata moja.
Hoja ukiiona utaijua?Nimecheka sana, sasa si angalau ungeweka hoja mzee ?
Sasa hapo unakuwa umeandika nini?Haya mambo mepesi sana hapa ulitakiwa uonyeshe uwezekano wa kinyume chake, kwamba self evident truth si hivyo ilivyo lakini mpaka muda huu hujafanya hivyo. Maana ya self evident truth ni kuwa uwepo wa jambo fulani huonyesha uwepo wa aliyefanya kilichopo kiwepo. Ndiyo maana jambo hili nilipokutaka utoe ufafanuzi ukashindwa na huwezi. Mfano uwepo wako wewe unaonyesha umetokana na kitu fulani au vitu fulani, hakuna kitu kilichotokana pasi na kitu.
Sasa ili uwe mkweli unatakiwa uonyeshe uongo wa jambo hilo. Siyo unaruka ruka.
Tatizo lenu liko pale pale, mimi logic nimeisoma kote kote yaani nimesoma kwa wale wanao ipigia chapuo na nimeisoma kwa wale wanao pinga, vitu ambavyo nyinyi hamjawahi kuvifanya.
Hapa, ulitakiwa ukosoe kile nilichokiandika au kukisimamia juu ya fani hii ya logic.
Nimeshamuelezea mwenzako huko mwanzo juu ya maana ya logic kwa zaidi ya maana mbili, rejea kisha uje kukosoa nilichokiandika.
Saa ndiyo maana tukasema hivi elezea chanzo cha ulimwengu bila kuonyesha muanzilishi wake maana yake unataka kutuambia Ulimwengu umetokana pasi na chochote,sasa ndiyo uonyeshe hilo. Haya mambo hayataki kona kona.
Halafu kwa ujinga huu unasema sijui logic na wewe nitakuweka wapi ?
Sasa ndiyo ukosoe nilichokiandika kwa hoja na ubainifu, usilete stori na kukimbia hoja.
Kwako wwe ni self evident truth, haina maana na mwingine ataona ni self evident truth hivyo hivyo na ndio maana unapaswa kuweka uthibitisho ku verify madai yakoSasa hili nakuachia wewe umuulize.
Self evident truth.
Unajuaje ukuu wa Mungu uko beyond human imagination, na kwamba hiyo si hadithi ya uongo uliyohadithiwa tu?Mkuu, unataka ku comprehend ukuu na utendaji kazi wa Mungu.........it is beyond human imagination my friend, wewe amini tu Mungu Mkuu (Almighty God) yupo na amua kutii na kufuata yale unayofundishwa au kusikia kumhusu yeye.
Swali gani hilo ? Nikumbushe kwenye ule ule uzi.Utabaki mstari huohuo mpaka ujibu swali langu. Unalikumbuka? Mpqkq somo likuingie ndiyo ntakupeleka mstari mwingine.
Sasa si ungeonyesha hilo, umesahau kama ulikiri ya kuwa Aristoto aliweka mfumo mzuri wa Logic ?Yani ulipoandika tu kwamba Aristotle kaanzisha logic nikakuona mjinga kupita maelezo.
Na unavyoendelea kubisha nakuona mpumbavu kabisa.
Huwa nafurahi sana kujadiliana na watu wepesi kama wewe.Hoja ukiiona utaijua?
Nakwambia kuhusu the problem of evil and the mutual exclusivity of the existence of God and this world, bado unanitaka nikupe hoja?
Unajua hata hoja ni nini guluguja wewe usiye na ubongo wala uti wa mgongo?
Rais Mkapa aliweka mfumo mzuri wa kukusanya kodi Tanzania kwa kuanzisha TRA.Sasa si ungeonyesha hilo, umesahau kama ulikiri ya kuwa Aristoto aliweka mfumo mzuri wa Logic ?
Maelezo yako kuhusu logic yameonyesha wazi kabla ya Aristoto hapakuwa na fani ya logic, ndiyo maana umeshindwa kuelezea logic nje ya maana ya kifani.
Sasa utaona mimi na wewe nani mpumbavu na nani ni mjinga, wewe umekusanya yote, yaani hata unachokiegemea unashindwa kukitetea.