Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,692
- 4,442
Haah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.Ikishakuwa illusion unaiitaje freewill?
Zichukulie kama data za kusapoti hicho kitu usivitenganishe.Usitumie kilichopo, kinacho thibitishika kuwa kipo kuwa ndio uthibitisho wa kitu kingine ambacho hujakithibitisha
Hiyo ni logical fallacy
Mkuu.Au wapinga mungu wote Kiranga na Scars mnapinga free will kwa sababu mnaamini ndaninyenu kuwa maamuzi yenu ya kupinga Mungu sio sahihi.
Sasa kwa kuwa mnajikubali mnaona ni bora kutupia lawama mazingira na circumstance zilizo nje ya utashi wenu?
Kwa sababu nashindwa kuelewa inawezekanaje mtu apinge kuwepo kwa Mungu halafu tumuache, tukija kumuambia basi ni wewe ndio unayeamua kila kitu apinge tena aseme kila kitu kinatokea vile 'kilivyopangwa' tu!!! Kupangwa na nini/nani?
Niwaambie kitu sasa ni kwamba: kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu yupo na pia kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu hayupo. Sababu utakazochagua ndio unajiumbia mwenyewe hatma yako na wala hautajidhulumu kitu kulingana na wewe. Fikiria kwamba umeamini hamna Mungu na baadaye tukifa imeisha hiyo, na kweli tukafa ikawa imeisha wala hatutakuwepo kujilaumu wala nn. Kupanga ni kuchagua. FREE - WILL
Ndio maana Yesu yeye akasema yeye ni way, life and truth kwa hiyo unaweza kuchagua kinyume pia yaani no-way, death and lies.
Sipendi mimi kusema kama Mungu atatupa adhabu au tuzo. La. Alishaweka mfumo ambao automatiki unawafikisha watu katika hatima walizochagua, wanazozipenda na kuzipigania kwa nguvu zote. Haya mambo sio personal kiviiiiile. Chagua tu UTASHI - HURU
Nimemuambia na mwenzako kuhusu illusion rejea post no 524 itakusaidia.Chochote unachokiita freewill, ambacho kinategemea framework ambayo hujaichagua wewe, si freewill, ni illussion ya freewill.
Na kwa kufuata hilo, kwa kuwa hatuchagui tunazaliwa mwaka gani, na wazazi gani, wapi, maisha yetu yote hayana freewill, yana illussion ya freewill.
Free will ni illusion kwasababu Mungu hayupoHaah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.
Kwa hiyo kutokea hapo ufurahi useme kwamba anhaa.... mnaniambia Mungu ni illusion, free will ni illusion kumbe hadi reality yenyewe ni illusion. Kama reality ni illusion basi illusion ndo ni reality yenyewe. Kwa hiyo freewill ni illusion na ndio ni real katika illusion nzima tunayoishi nayo kiujumla wake.
Kuna wakati niliwashauri hebu tumieni mbinu hizohizo za adui kumpiga kwa mabomu anayowapiga nayo. Yaani mfano mtu anakulipua halafu wewe unaukubali mlipuko unaukuza hadi unamlipukia na mlipuaji humohumo.
Unaweza ukarahisha ulichokiandika kieleweke vizuri?Zichukulie kama data za kusapoti hicho kitu usivitenganishe.
Mimi nikijua kuwa almasi ni nyeusi inan'gaa na inakata vioo. Nikatembea porini nikaokota jiwe jeusi la kun'gaa naweza nikarudi nyumbani kijijini nikawaambia nimeokota almasi ina sifa zote inang'aa na ni nyeusi. Kuhusu suala la kukata vioo bado tunasubiria ushahidi tukinunua kioo tukikate baadaye likija gulio letu la mwisho wa wiki [nyumbani hakukuwa na kioo assuming] I have faith kuna mambo yanathibitishika ninayajua na ninaweza kuextrapolate kwa hayo mengine yasowezekanika sasa, Muda.
Time ni illussion, to a photon that travels at the speed of light, time does not exist.Nimemuambia na mwenzako kuhusu illusion rejea post no 524 itakusaidia.
Kama freewill ni illusion basi na maisha yote ni illusion including time, cause and effect kwa nini tusiweke nadhiri ya 'I am gonna live this illusion to the best of my abilities💪. Tafuta ukweli wa kuendana na hali katika hii sea of illusions.
Hata huyo Mungu uliyemkubali ni subject ya siku uliyozaliwa na elimu yako.Labda wewe unaikataa freewill kwa sababu tu hujawahi kuiexperience? Au uliiexperience halafu akaja mjinga mmoja akakuambia shtuka brooo hiyo ni illusion, ukamuamini.
Niliiexperience freewill kwa mfano wakati nilipokuwa nachagua kuwa wa Mungu au kumkataa. Muda huo nilikuwa na taarifa za kutosha kusapoti yupo na nilikuwa na taarifa za kutosha kusapoti hayupo! Nilwahi kuishi wiki kadhaa nikiwa na imani kuwa hizi ni stori tu
Ningeamua kuwa hayupo ningeendelea kuishi hivyo na ningekuwa sane vizuri tu na mwisho ningekufa sambamba na imani yangu hiyo.
Ningeamua[na nilishaamua] kuwa yupo na ninaishi sanely kabisa kulingana na imani hiyo mwisho nitaishi sambamba na imani yangu
Jambo ambalo halikuwezekana ni vyote viwili[ mutually exclusive] kwa hiyo nilikaa chini kisha freely nikachagua upande. FREE - WILLL
Unajuaje kwamba hata hiyo infinity yenyewe si illussion?Haah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.
Kwa hiyo kutokea hapo ufurahi useme kwamba anhaa.... mnaniambia Mungu ni illusion, free will ni illusion kumbe hadi reality yenyewe ni illusion. Kama reality ni illusion basi illusion ndo ni reality yenyewe. Kwa hiyo freewill ni illusion na ndio ni real katika illusion nzima tunayoishi nayo kiujumla wake.
Kuna wakati niliwashauri hebu tumieni mbinu hizohizo za adui kumpiga kwa mabomu anayowapiga nayo. Yaani mfano mtu anakulipua halafu wewe unaukubali mlipuko unaukuza hadi unamlipukia na mlipuaji humohumo.
Mtu anakwambia kuwa, uwepo wako ni uthibitisho wa kwamba Mungu yupo.Usitumie kilichopo, kinacho thibitishika kuwa kipo kuwa ndio uthibitisho wa kitu kingine ambacho hujakithibitisha
Hiyo ni logical fallacy
Naam, wala hujakosea, ikiwa tu, utajibu maswali yangu ntaelewa sasa yamekuingia ntasogea mbele.Bi mkubwa punguza stori na dibaji naona husogei mbele kila siku uko pale pale na msaada nilikupa. Hili swali huwezi kulijibu, sasa endelea kujipotezea umri wako bure. Katika hili huna cha kunipa sababu nimekutangulia umbali mrefu sana.
Yani ananiona mwaka 2040 ila tena kaweka njia za kuchagua wakati tayari hatima yangu anaijua?Mungu anajua hatma kwasababu yupo nje ya time dimension. Hivyo yeye anakuona mwaka 2000, anakuona mwaka 2022 na anakuona mwaka 2040 (mfano tuu).
Hajakupangia wala haku control ila anakuona unavyofanya maamuzi yako na unavyovuna matokeo yake.
Hata hivyo ameweka njia ambayo ukichagua kuifuata unapata matokeo mazuri wakati wote.
Sasa hivi tunapoongea tàyari Mungu anakuona kesho na yote utakayofanya. Hakupangii na wala hakucontol unayoamua kufanya. Kwahiyo anafahamu hatima kwasababu yeye anaona akiwa nje ya mipaka ya muda.Yani ananiona mwaka 2040 ila tena kaweka njia za kuchagua wakati tayari hatima yangu anaijua?
Ubadilike vipi wakati wanasema Mungu anaujua mwisho wetu? "Nalikujua tangu utumboni mwa Mama yako".Freewill ipo hapo kwenye kukuacha uamue mwenyewe kubadilika ama kutokubadilika.
Kashindwa kuthibitisha madai yake na anajaribu ku fabricate uthibitisho hata kwa njia zisizo za halali ili tu kumfanya huyo Mungu wakufikirika aonekane yupoMtu anakwambia kuwa, uwepo wako ni uthibitisho wa kwamba Mungu yupo.
Ni sawa na akwambie kuwa, uwepo wa pembetatu ni uthibitisho kwamba kuna pembetatuduara.
This one made no sense, sijaelewa sababu na matokeo yake hapo. Huoni mutual exclusivity ya kinamna fulani hapo.Free will ni illusion kwasababu Mungu hayupo
Nadhani nilikuwa naelekea kusinzia pia, ila wazo la jumla ilikuwa ni: ikiwa ninao uthibitisho wa baadhi ya sifa hivyo basi nitachukulia kitu ninachokifikiria ndiyo hicho hadi pale nitakapokithibitisha kikamilifu. Au mpango mzima utaabort ikiwa nitapata sifa itakayothibitisha kinyume na ninachowaza.Unaweza ukarahisha ulichokiandika kieleweke vizuri?
Kabisa hata mie nilicontemplate ikiwa ningekuwa exposed na muungu mwingine na mwana wa mungu mwingine au dini nyingine etc uchaguzi bado ningekuwa nao au vipi?.Hata huyo Mungu uliyemkubali ni subject ya siku uliyozaliwa na elimu yako.
Ungezaliwa Mgiriki enzi za Zeus most likely ungemkubali Mungu Zeus.
Yani unapomchagua Mungu unamchagua kwa elimu ndogo uliyonayo, hata hujui miungu yote.
Mpaka hapo tu huna freewill. Una limited will.