God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Sababu yeye ni chanzo cha kila kitu.
Unajuaje yeye ni chanzo cha kila kitu, na hiyo si hadithi ya kutungwa na watu tu?

Unaelewa kwamba habari nzima ya "cause and effect" si ya msingi?

Unaelewa kwamba kuna causes zinazotokea kabla ya effects na effects zinazotokea kabla ya causes in a circular and interconnected way to make the entire "cause and effect" concept rather parochial?
 
Hujanieleza mimi nilivyo inathibitishaje uwepo wa Mungu.

Hujanieleza ni vipi nina ujuaji usio na maana, hujaeleza ujuaji ulio na maana ni upi na usio na maana ni upi.

Hujanieleza maangamizi ya milele yanatafutwaje.

Yani kama hivi ndivyo unavyomtetea huyo Mungu, na yeye yupo anakuangalia, sasa hivi atakuwa anatingisha kichwa kusikitika jinsi ambavyo hujamtendea haki kutetea uwepo wake.
Akili nyingi huondoa maarifa, wewe unajua ilikuwaje ukajikuta upo hivyo......au utasema nilikuwa chembe hai baharini nikajifinyanga hadi nikawa kiranga mnayemwona sasa.........tatizo mnaopinga uwepo wa Mungu huwa hamtaki tu kujiweka wazi kwamba nyinyi ni waabudu shetani.
 
Mimi kutojua ilikuwaje nikajikuta hapa si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Mimi siwezi kumuabudu shetani, kwa sababu sikubali uwepo wa shetani, kwa sababu zilezile zinazonifanya nikatae uwepo wa Mungu.

Kama Mungu ndiye alimuumba shetani au alikuwa chanzo cha shetani kuwepo, na mimi sikubali Mungu yupo, nitakubalije uwepo wa shetani?

Kwa msingi huo, wewe unayeamini Mungu yupo, na unayeamini shetani yupo, uko karibu zaidi kumuabudu shetani kuliko mimi ambaye sikubali uwepo wa Mungu wala shetani.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha.
 
Unajuaje yeye ni chanzo cha kila kitu, na hiyo si hadithi ya kutungwa na watu tu?
Sababu nilishazitoa huko mwanzo.

Kuhusu kutokuwa ni hadithi kwanza kuna chain ya habari, kingine habari zake hazipingani na akili iliyo salama, kingine ni uhalisia.
Unaelewa kwamba habari nzima ya "cause and effect" si ya msingi?p
Kivipi ?
Unaelewa kwamba kuna causes zinazotokea kabla ya effects na effects zinazotokea kabla ya causes in a circular and interconnected way to make the entire "cause and effect" concept rather parochial?
Sijaongelea hili la kwanza, kwanza mjengeko wake hauleti maana kwamba kuna "causes zinatokea kabla ya effects" kauli yako ni sawa na mtu aseme "ninaenda kuoga maji" wakati alitakiwa aseme "ninaenda kuoga" kuna vitu vinajulikana kiasi ambacho kuviandika unaonekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Turudi katika hili la pili ambalo una dai "Effects kabla ya causes" haya ni matatizo ya akili. Vipi effects itokee kabla ya kisababishi ? Kingine uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
 
Mimi kutojua ilikuwaje nikajikuta hapa si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Mimi siwezi kumuabudu shetani, kwa sababu sikubali uwepo wa shetani, kwa sababu zilezile zinazonifanya nikatae uwepo wa Mungu.

Kama Mungu ndiye alimuumba shetani au alikuwa chanzo cha shetani kuwepo, na mimi sikubali Mungu yupo, nitakubalije uwepo wa shetani?

Kwa msingi huo, wewe unayeamini Mungu yupo, na unayeamini shetani yupo, uko karibu zaidi kumuabudu shetani kuliko mimi ambaye sikubali uwepo wa Mungu wala shetani.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha.
Basi thibitisha kilichokufanya uwe hivyo ili tumalize mjadala.
 
Hapa muda huu hujajibu swali langu tena swali rahisi sana.
Uelewa wako ni finyu sana.

Unafahamu kuwa salat ilianza kwa Nabii Ibrahim kuomba dua, kwa muibu wa Qur'an?
 
Uelewa wako ni finyu sana.

Unafahamu kuwa salat ilianza kwa Nabii Ibrahim kuomba dua, kwa muibu wa Qur'an?
Nenda kwenye ule uzi utuonyeshe namna ya kusali na kutoa zaka toka kwenye Qur'aan.

Hili mpaka unakufa, huwezi kujibu.
 
Sababu nilishazitoa huko mwanzo.

Kuhusu kutokuwa ni hadithi kwanza kuna chain ya habari, kingine habari zake hazipingani na akili iliyo salama, kingine ni uhalisia.

Kivipi ?

Sijaongelea hili la kwanza, kwanza mjengeko wake hauleti maana kwamba kuna "causes zinatokea kabla ya effects" kauli yako ni sawa na mtu aseme "ninaenda kuoga maji" wakati alitakiwa aseme "ninaenda kuoga" kuna vitu vinajulikana kiasi ambacho kuviandika unaonekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Turudi katika hili la pili ambalo una dai "Effects kabla ya causes" haya ni matatizo ya akili. Vipi effects itokee kabla ya kisababishi ? Kingine uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Jielimishe kwanza kabla ya kubishana.

Kiingereza unajua lakini? Maana haya mengine hayajapata kuandikwa Kiswahili bado.

Cause and effect is no longer fundamental, it is only so to people who do not know the most basic things about quantum physics. Like you.
 
Basi thibitisha kilichokufanya uwe hivyo ili tumalize mjadala.
That is a logical non sequitur.

Unaniambia wewe mtu mzima una miaka 30 leo, unaniambia mama yake mzazi wa kibaiolojia ni binti mchanga wa miezi 6.

Nakuambia kuwa, haiwezekani huyo binti mchanga wa miezi 6 kuwa mama yako mzazi wa kibaiolojia, kwa sababu, wewe mtu wa miaka 30 huwezi kuwa na mama mzazi wa kibaiolojia uliyempita umri, na huyu binti mchanga wa miezi 6 umempita kwa miaka 29 na nusu, hawezi kuwa mama yako.

Unaniambia, nithibitishe mama yako halisi ni nani, ili tujue kwamba huyu binti mchanga wa miezi 6 si mama yako mzazi.

Mimi nakwambia hivi, sihitaji kumjua mama yako mzazi ni nani ili kujua kwamba huyu binti wa miezi 6 si mama yako mzazi.

Na hata nisipomjua mama yako mzazi ni nani, hilo haliondoi ukweli kwamba huyu binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mzazi wa kibaiolojia.

Swali lako la kuniuliza nithibitishe kilichonifanya niwe hivi, ni sawa na wewe uniulize nithibitishe mama yako mzazi ni nani ili tujue mtoto binti mchangawa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mtu mwenye miaka 30.

Yani hata nisipojua jibu la mama yako ni nani, bado nitajua binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mazai wa kibaiolojia. Kwa sababu mtoto mchanga wa miezi 6 kuwa na mtoto wake mwenyewe mwenye miaka 30 ni contradiction.

So, once nikifanikiwa kuonesha contradiction katika dhana ya Mungu kuwepo, sihitaji kujua hapa nimefikaje ili kujua Mungu hayupo na sijafika hapa kwa njia yoyote inayomuhusisha Mungu.

Naweza kujua jibu flani si sahihi, bila hata kujua jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua square root ya 2 si 10 (kwa sababu square root ya namba positive ni lazima iwe ndogo kuliko hiyo namba) bila kujua square root ya 2 ni nini.

Sasa wewe unachofanya hapa, ni kama unaniambia square root ya 2 ni kumi, mimi nakwambia hilo jibu si sahihi, kwa sababu linacontradict kanuni ya square roots za positive numbers, kwa kuwa 10 ni kubwa kuliko 2.

Unanibishia na kuniambia nikupe square root ya 2. Hata kama sijui square root ya 2 ni nini, naweza kujua kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10.

Mimi hoja yangu ni kwamba square root ya 2 si 10, huko kwenye kuonesha square root ya 2 ni nini sihitaji kwenda ili kuonesha kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10.
 
Mimi nimetokana na uumbaji wa mamlaka iliyo kuu, ambaye ni Mungu Mkuu muumba wa ulimwengu na vitu vyote viujazavyo.
kwa namna ulimwengu ulivyopangiliwa na kwa jinsi mimi mwanadamu nilivyoumbwa kwa jinsi ya ajabu ambayo ni ya kimiujiza nikakuthibitishia kwamba kuna mamlaka kuu iliyofanya haya ambayo ndo inaitwa Mungu.
Cha kushangaza unakuja na mifano irrelevant kuhusianisha hili swala na mtoto wa miezi 6 hawezi kuzaa mtu wa miaka 30 na sijui square root ya 2 haiwezi kuwa 10.......
kifupi you have refuted uwepo wa Mungu bila uthibitisho wowote. Na nikikwambia ueleze wewe umetokana na uweza upi na uthibitishe hilo kama unavyotaka mimi nithibitishe uwepo wa Mungu, unarukaruka kama mahindi yaliyo kwenye kikaango.
 
Satoh Hirosh kama mwanadamu akiwa na dhambi Mungu hawezi kumuona basi hiyo inamuondolea ile sifa ya kuyajua yote na kuyaweza yote. Kumbuka Mungu si Mungu kama hataweza kuyajua yote, kuyaona yote na kuyaweza yote.

Regard.
Scars umechana mistari sana nikiwa na wasaa nitakurudia
Bro napenda kuligusia hili kiimani zaidi lakin kwa uchache sana.

Napenda kusema kwamba unaamini MUNGU ana nguvu kuliko chochote... labda kama una imani tofauti na hiyo naweza nisiwe na hoja za msingi.

Twende pamoja......

Kwa Kuzungumzia uwezo wa MUNGU mpaka kufikia hivi tulivyo,kuwa na ufahamu,maarifa na afya njema iliyopelekea kuanzisha mjadala huu ambao unatupa uhuru wa kuelezea undani wa chanzo cha nguvu ambayo ndiyo MUNGU mwenyewe, ni dhahiri kabisa ya Huruma kuu ya MUNGU ambaye upendo wake huwezi kufananisha na uwezo wake pamoja na machukizo yaliyopita,yajayo na yatakayokuja.

Kwann nasema hivyo?

Ni rahisi kufikiri kidogo tu. Sote tunaelewa utukufu wa nguvu, ni dhahiri malaika mmoja angekuwa na nguvu kama za MUNGU sisi binadamu tusingekuwepo. Mfano ni shetani ambaye alikuwa ni kinara wa kupinga mpango wa kuumbwa binadamu. Nafikir kidogo unapata concept ya upendo wa MUNGU.

Kuhusu uhusiano kati free will na upendo wa MUNGU.

Ni rahisi kuzungumzia kwa kufananisha udhaifu na nguvu kuu katika kuhusianisha upeo wa kibinadamu na chanzo cha upeo wenyewe.

Kivipi?

Hapa tunahoji uwezo wa MUNGU+Upendo wake na hatma ya wanadamu kufanya machaguzi. Nafikir unaweza kujiuliza kwann MUNGU hakutaka mwanadamu awe na ufahamu wa kujua mema na mabaya.

Labda ujiulize ujue mema na mabaya katika mazingira gani? Na usijue mema na mabaya katika mazingira gani? Ni wazi tunafahamu kwamba MUNGU hakutaka tuwe na ufahamu wa kujua mema na mabaya katika hali ya utakatifu. Kwasababu lengo lake lilikuwa tuishi maisha ya furaha siku zote(maisha ya usafi wa roho na mwili)

Nafikiri ni upendo usiokadirika. Kama binadamu ninaetambua thamani ya upendo siwezi kuhoji kuhusu mpango wa MUNGU juu ya free will hata kama anajua nitaenda motoni na bado akaniumba.

Nafikir mtoa mada ni mkatoliki anaamini pia juu ya toharani. Hii ni huruma nyingine na upendo usiokadirika.

Mpango wa MUNGU ni mimi na wewe tuishi maisha ya furaha siku zote, huo mpango kwa namna nyingine ulikuwepo zama za baba zetu wa kwanza, mpango huo unaendelea ila ni kwa namna nyingine nayo ni kuchagua mema na kwenda mbinguni. Swala la kuchagua mabaya ni huruma nyingine ambayo pia MUNGU hakutaka iwepo ila mwanadamu kwa ushawishi wa ibilisi aliruhusu uwepo.

Nihitimishe kwa kusema tuchague mema, tusichague mabaya halafu mwisho tukaja kulaumu kwa uamuzi ambao tumeufanya wenyewe na matokeo yake ni sisi wenyewe.

Umepewa zawadi ya utashi fanya maamuzi sahihi.
 
Kilichokuwa katika kweli hakiwezi kuwa kwenye imani

Imani ni kukubali kitu kuwa ni kweli bila uthibitisho, ukishajua ukweli kwa hakika unatoka kwenye imani
Sidhani kama ni exclusive hivyo. Kwani mtu hawezi kusema: Kwa hichi nilichothibitisha, nimeamini mwamba ni noma.

Sense haikatai hata babalai...
 
Binafsi nime
Kisai naona umekutana na wabishi wenzio 🤣
Watu mnamoyo wa kubishana jamani.. Scars Kiranga Uhakika Bro hadi saa 11 alafajiri mnaporomosha magazeti asee. Hii mada haitakua na mshindi asee..
Kakosekana tu @lovelifelivelife safuher na FaizaFoxy

Btw nawasubiri mmalize kubishana niwaletee Muendelezo wa topic hii ambao utaServe as a Counterpart-Sequel
shukuru kwa ubishi wao maana nimejifunza mengi na kurekebisha mengi kiasi kwamba kama nitaamua kuandika upya mada inayohusiana na freewill basi nitaiandika kwa ufasaha zaidi.

Utashi huru ni moja kati ya topic ilonivutiaga nikaandika katika blog

Mwanzo niliandika kwa kutumia neno utashi huru/freewill kumbe kiuhalisia nilielezea zaidi utashi pekeyake yaani will. Sasa nikija kuandika FREEWILL PART2 nitakuwa nimetenganisha vizuri will na free-will asanteni akina Kiranga Kisai Scars , hasa Scars maana ndiye tumeinteract naye zaidi.

Ipo hapa kuhusu will na ukiweza ingia na kwenye blog[kuna link katika thread] iliyoandika kwa ureeefu [kuhusu hiyohiyo will] Mbinu ya kutumia akili na utashi binafsi kuiendesha afya na mwili wako - A biological appeal to free-will
 
Back
Top Bottom