Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mfano irrelevant wakati mimi ndiye nimekueleza swali lako irrelevant?Mimi nimetokana na uumbaji wa mamlaka iliyo kuu, ambaye ni Mungu Mkuu muumba wa ulimwengu na vitu vyote viujazavyo.
kwa namna ulimwengu ulivyopangiliwa na kwa jinsi mimi mwanadamu nilivyoumbwa kwa jinsi ya ajabu ambayo ni ya kimiujiza nikakuthibitishia kwamba kuna mamlaka kuu iliyofanya haya ambayo ndo inaitwa Mungu.
Cha kushangaza unakuja na mifano irrelevant kuhusianisha hili swala na mtoto wa miezi 6 hawezi kuzaa mtu wa miaka 30 na sijui square root ya 2 haiwezi kuwa 10.......
kifupi you have refuted uwepo wa Mungu bila uthibitisho wowote. Na nikikwambia ueleze wewe umetokana na uweza upi na uthibitishe hilo kama unavyotaka mimi nithibitishe uwepo wa Mungu, unarukaruka kama mahindi yaliyo kwenye kikaango.
Umekubali kwamba naweza kujua kwamba jibu hili si sahihi bila kujua jibu sahihi?