Sababu yeye ni chanzo cha kila kitu.Kwa nini Mungu ni necessary being?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu yeye ni chanzo cha kila kitu.Kwa nini Mungu ni necessary being?
Nimejua kupitia sifa yakeUmejuaje kama kila jambo limesetiwa ilhali hatuoni athari ya kusetiwa kwa mambo hayo badala yake tuna experience free will ?
Unajuaje yeye ni chanzo cha kila kitu, na hiyo si hadithi ya kutungwa na watu tu?Sababu yeye ni chanzo cha kila kitu.
Akili nyingi huondoa maarifa, wewe unajua ilikuwaje ukajikuta upo hivyo......au utasema nilikuwa chembe hai baharini nikajifinyanga hadi nikawa kiranga mnayemwona sasa.........tatizo mnaopinga uwepo wa Mungu huwa hamtaki tu kujiweka wazi kwamba nyinyi ni waabudu shetani.Hujanieleza mimi nilivyo inathibitishaje uwepo wa Mungu.
Hujanieleza ni vipi nina ujuaji usio na maana, hujaeleza ujuaji ulio na maana ni upi na usio na maana ni upi.
Hujanieleza maangamizi ya milele yanatafutwaje.
Yani kama hivi ndivyo unavyomtetea huyo Mungu, na yeye yupo anakuangalia, sasa hivi atakuwa anatingisha kichwa kusikitika jinsi ambavyo hujamtendea haki kutetea uwepo wake.
Akili nyingi huondoa maarifa, wewe unajua ilikuwaje ukajikuta upo hivyo......au utasema nilikuwa chembe hai baharini nikajifinyanga hadi nikawa kiranga mnayemwona sasa.........tatizo mnaopinga uwepo wa Mungu huwa hamtaki tu kujiweka wazi kwamba nyinyi ni waabudu shetani.
Sababu nilishazitoa huko mwanzo.Unajuaje yeye ni chanzo cha kila kitu, na hiyo si hadithi ya kutungwa na watu tu?
Kivipi ?Unaelewa kwamba habari nzima ya "cause and effect" si ya msingi?p
Sijaongelea hili la kwanza, kwanza mjengeko wake hauleti maana kwamba kuna "causes zinatokea kabla ya effects" kauli yako ni sawa na mtu aseme "ninaenda kuoga maji" wakati alitakiwa aseme "ninaenda kuoga" kuna vitu vinajulikana kiasi ambacho kuviandika unaonekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.Unaelewa kwamba kuna causes zinazotokea kabla ya effects na effects zinazotokea kabla ya causes in a circular and interconnected way to make the entire "cause and effect" concept rather parochial?
Basi thibitisha kilichokufanya uwe hivyo ili tumalize mjadala.Mimi kutojua ilikuwaje nikajikuta hapa si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Mimi siwezi kumuabudu shetani, kwa sababu sikubali uwepo wa shetani, kwa sababu zilezile zinazonifanya nikatae uwepo wa Mungu.
Kama Mungu ndiye alimuumba shetani au alikuwa chanzo cha shetani kuwepo, na mimi sikubali Mungu yupo, nitakubalije uwepo wa shetani?
Kwa msingi huo, wewe unayeamini Mungu yupo, na unayeamini shetani yupo, uko karibu zaidi kumuabudu shetani kuliko mimi ambaye sikubali uwepo wa Mungu wala shetani.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha.
Sifa ipi ?Nimejua kupitia sifa yake
Ujuzi woteSifa ipi ?
Ikisemwa Ujuzi wote unaelewa nini mkuu ?Ujuzi wote
Predetermined Kila jambo linalotokea halifanyiki kwa bahati mbayaIkisemwa Ujuzi wote unaelewa nini mkuu ?
Uelewa wako ni finyu sana.Hapa muda huu hujajibu swali langu tena swali rahisi sana.
Nenda kwenye ule uzi utuonyeshe namna ya kusali na kutoa zaka toka kwenye Qur'aan.Uelewa wako ni finyu sana.
Unafahamu kuwa salat ilianza kwa Nabii Ibrahim kuomba dua, kwa muibu wa Qur'an?
Jielimishe kwanza kabla ya kubishana.Sababu nilishazitoa huko mwanzo.
Kuhusu kutokuwa ni hadithi kwanza kuna chain ya habari, kingine habari zake hazipingani na akili iliyo salama, kingine ni uhalisia.
Kivipi ?
Sijaongelea hili la kwanza, kwanza mjengeko wake hauleti maana kwamba kuna "causes zinatokea kabla ya effects" kauli yako ni sawa na mtu aseme "ninaenda kuoga maji" wakati alitakiwa aseme "ninaenda kuoga" kuna vitu vinajulikana kiasi ambacho kuviandika unaonekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Turudi katika hili la pili ambalo una dai "Effects kabla ya causes" haya ni matatizo ya akili. Vipi effects itokee kabla ya kisababishi ? Kingine uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
That is a logical non sequitur.Basi thibitisha kilichokufanya uwe hivyo ili tumalize mjadala.
Mimi nimetokana na uumbaji wa mamlaka iliyo kuu, ambaye ni Mungu Mkuu muumba wa ulimwengu na vitu vyote viujazavyo.That is a logical non sequitur.
Unaniambia wewe mtu mzima una miaka 30 leo, unaniambia mama yake mzazi wa kibaiolojia ni binti mchanga wa miezi 6.
Nakuambia kuwa, haiwezekani huyo binti mchanga wa miezi 6 kuwa mama yako mzazi wa kibaiolojia, kwa sababu, wewe mtu wa miaka 30 huwezi kuwa na mama mzazi wa kibaiolojia uliyempita umri, na huyu binti mchanga wa miezi 6 umempita kwa miaka 29 na nusu, hawezi kuwa mama yako.
Unaniambia, nithibitishe mama yako halisi ni nani, ili tujue kwamba huyu binti mchanga wa miezi 6 si mama yako mzazi.
Mimi nakwambia hivi, sihitaji kumjua mama yako mzazi ni nani ili kujua kwamba huyu binti wa miezi 6 si mama yako mzazi.
Na hata nisipomjua mama yako mzazi ni nani, hilo haliondoi ukweli kwamba huyu binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mzazi wa kibaiolojia.
Swali lako la kuniuliza nithibitishe kilichonifanya niwe hivi, ni sawa na wewe uniulize nithibitishe mama yako mzazi ni nani ili tujue mtoto binti mchangawa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mtu mwenye miaka 30.
Yani hata nisipojua jibu la mama yako ni nani, bado nitajua binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mazai wa kibaiolojia. Kwa sababu mtoto mchanga wa miezi 6 kuwa na mtoto wake mwenyewe mwenye miaka 30 ni contradiction.
So, once nikifanikiwa kuonesha contradiction katika dhana ya Mungu kuwepo, sihitaji kujua hapa nimefikaje ili kujua Mungu hayupo na sijafika hapa kwa njia yoyote inayomuhusisha Mungu.
Naweza kujua jibu flani si sahihi, bila hata kujua jibu sahihi ni lipi.
Naweza kujua square root ya 2 si 10 (kwa sababu square root ya namba positive ni lazima iwe ndogo kuliko hiyo namba) bila kujua square root ya 2 ni nini.
Sasa wewe unachofanya hapa, ni kama unaniambia square root ya 2 ni kumi, mimi nakwambia hilo jibu si sahihi, kwa sababu linacontradict kanuni ya square roots za positive numbers, kwa kuwa 10 ni kubwa kuliko 2.
Unanibishia na kuniambia nikupe square root ya 2. Hata kama sijui square root ya 2 ni nini, naweza kujua kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10.
Mimi hoja yangu ni kwamba square root ya 2 si 10, huko kwenye kuonesha square root ya 2 ni nini sihitaji kwenda ili kuonesha kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10.
😂Na nikikwambia ueleze wewe umetokana na uweza upi na uthibitishe hilo kama unavyotaka mimi nithibitishe uwepo wa Mungu, unarukaruka kama mahindi yaliyo kwenye kikaango.
Bro napenda kuligusia hili kiimani zaidi lakin kwa uchache sana.Satoh Hirosh kama mwanadamu akiwa na dhambi Mungu hawezi kumuona basi hiyo inamuondolea ile sifa ya kuyajua yote na kuyaweza yote. Kumbuka Mungu si Mungu kama hataweza kuyajua yote, kuyaona yote na kuyaweza yote.
Regard.
Scars umechana mistari sana nikiwa na wasaa nitakurudia
Sidhani kama ni exclusive hivyo. Kwani mtu hawezi kusema: Kwa hichi nilichothibitisha, nimeamini mwamba ni noma.Kilichokuwa katika kweli hakiwezi kuwa kwenye imani
Imani ni kukubali kitu kuwa ni kweli bila uthibitisho, ukishajua ukweli kwa hakika unatoka kwenye imani
shukuru kwa ubishi wao maana nimejifunza mengi na kurekebisha mengi kiasi kwamba kama nitaamua kuandika upya mada inayohusiana na freewill basi nitaiandika kwa ufasaha zaidi.Kisai naona umekutana na wabishi wenzio 🤣
Watu mnamoyo wa kubishana jamani.. Scars Kiranga Uhakika Bro hadi saa 11 alafajiri mnaporomosha magazeti asee. Hii mada haitakua na mshindi asee..
Kakosekana tu @lovelifelivelife safuher na FaizaFoxy
Btw nawasubiri mmalize kubishana niwaletee Muendelezo wa topic hii ambao utaServe as a Counterpart-Sequel